Pendekeza jina la unayedhani ni mrembo kuliko wote hapa, mshindi baada ya comments 20

Madem wa jf nimekutana nao kama 8 hivi ni vifupi alafu vibonge hizo avatar wanaweka sura za watoto wa watu wasio na hatia ukijichanganya ukafikiri na yeye atakua mrembo inakula kwako
Kura yako mkuu unampa Nan ??
 
Madem wa jf nimekutana nao kama 8 hivi ni vifupi alafu vibonge hizo avatar wanaweka sura za watoto wa watu wasio na hatia ukijichanganya ukafikiri na yeye atakua mrembo inakula kwako
[emoji23][emoji23][emoji23]au bas

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Madem wa jf nimekutana nao kama 8 hivi ni vifupi alafu vibonge hizo avatar wanaweka sura za watoto wa watu wasio na hatia ukijichanganya ukafikiri na yeye atakua mrembo inakula kwako

Hhahahahahhahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmecheka sana, at wanaweka avatar za watoto wasyo na hatia jaman. Aki watu mna maneno 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom