Pendekeza jina la unayedhani ni mrembo kuliko wote hapa, mshindi baada ya comments 20

Ulivyoniquote hapo nimeumwa ghafla.

Usiharibu uzi wa watu, si vyema kukwaza watu siku ya sikukuu.

Ila nimechekaaaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Mi sirudi tena hapa kwaheri, usije ukalazwa bure baada ya kuumwa.
 
Akipatikana anaemshinda uzuri huyu mama yenu mdogo we najiondoa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…