Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Napendekeza nyie UWT wote muende bungeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe pia usijisahau.Mh Haji Manara,Ali Kiba,Peter Msechu,Murisho Mupoto,Marioo,Mariam Migomba,Harmonizer,Dotto Magari,
Mh Mwijaku,Baba Levo,Dulla Mbabe,Mwamposa,mh Gigy moneey pamoja na mh Mange Kimambi.
🤣🤣🤣🤣🙌Umewaona eeh?machepele watupu!🤣
Mimi sio mwana ziziemu kama waliotajwa hapo juu.Na wewe pia usijisahau.
Labda Mbozi kwao mbey mjini Tulia mwenyewe anasandaLucas Mwashambwa Mbeya mjini
Missed you too lastborn.😘😘🤣🤣🤣 Dada nimekumiss lini nikuletee vitu vyako pendwa?
😘😘😘Missed you too lastborn.😘😘
Asante dogo,Nakujia kwa Prime Minister soon tupange jambo letu🙏🏼💃🏼🍾🍷
Poa poa.😘😘😘
Halafu nimeingiza mzigo mpya mshtue mzee wa Bucci nna vitu vyake huku 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Poa poa.
Bucci boy salamu atapata soon!
Halafu kumbe ndo mana ulipotea kwenye rada nikasema huyu ukute yuko pande za walia vijiti huyu kumbe sijakosea.
😀😀😀🤣🤣🤣
Bucci boy nimemletea sample km zote ashindwe yy tu!!
Yani nikikumbukaga nacheka sana!!
Ile swagger yake ya kuvunja kishoka kwenye Ford ranger 🤣
😂😂😂😀😀😀
Zaba nahisi walizichangamkia chap ?
Ila ntakuchapa umesafiri hata kunibless clinique jamani😭
Safi hongera sana.😂😂😂
Zabba ziligombewa km njugu, ss hivi zimekuja BAPPE, NASA, SUPREME, LV, AMIRI brand km zoteeee.!! Clinique usijali next time ntakubless
Plain hazina soko, hizo nitakuwekea special order usijali.. 😍Safi hongera sana.
Changanya na plain nikija na Bucci boy na mimi nikuungishe.
Asante🙏🏼😍😍
Amos Makala- BIG NONdugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu mbalimbali wanaweza wasitake kugombea tena.
Na kwa kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kwa kuwa ubunge ni utumishi wa watu unaohitaji mtu kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watu na kutambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kwa kuwa CCM ndio chama kinachoaminika katika mioyo ya watanzania na kupendwa na watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na wagombea kupitia CCM.
Je watanzania wenzangu mlikuwa mnatamani sura zipi Ngeni ambazo hazipo kwa sasa bungeni kuona zikipata nafasi ya kuingia Bungeni kupitia majimbo kwa chama cha Mapinduzi? Mnatamani nani na nani kuwaona Bungeni?
Kwa upande wangu japo nataja wachache lakini haimaanishi ni hao hao.wapo wengine ambao nitawataja baadaye.leo nataja tu lakini sababu nitaeleza baadaye.
.Mheshimiwa Paul Makonda.RC Arusha.
. Mheshimiwa Amos Makala.Mwenezi CCM Taifa.
. Mheshimiwa Nehemiah Mchechu,msajili wa Hazina.
. Mheshimiwa Jokate Mwegelo.Katibu Mkuu UVCCM
. Mheshimiwa David Kafulila.Mkurugenzi PPP.
. Mheshimiwa Juma Homela.RC Mbeya.
. Mheshimiwa Shaka Hamidu Shaka.Dc huko Morogoro
. Mheshimiwa Gerson Msigwa.Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,sanaa na Michezo.
Muda huu naishia hapa ila nitaendelea wakati mwingine kuwapa sababu ya kupendekeza jina la kila mmoja hapo juu na kuongeza baadhi ya majina mengine mapya. Sijataja majimbo maana mtu anaweza kugombea jimbo lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.