Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Mh Haji Manara,Ali Kiba,Peter Msechu,Murisho Mupoto,Marioo,Mariam Migomba,Harmonizer,Dotto Magari,
Mh Mwijaku,Baba Levo,Dulla Mbabe,Mwamposa,mh Gigy moneey pamoja na mh Mange Kimambi.
 
Na wewe pia usijisahau.
 
🀣🀣🀣 Dada nimekumiss lini nikuletee vitu vyako pendwa?
Missed you too lastborn.😘😘

Asante dogo,Nakujia kwa Prime Minister soon tupange jambo letuπŸ™πŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸΎπŸ·
 
😘😘😘
Halafu nimeingiza mzigo mpya mshtue mzee wa Bucci nna vitu vyake huku 🀣🀣🀣
 
Poa poa.
Bucci boy salamu atapata soon!

Halafu kumbe ndo mana ulipotea kwenye rada nikasema huyu ukute yuko pande za walia vijiti huyu kumbe sijakosea.
 
🀣🀣🀣
Bucci boy nimemletea sample km zote ashindwe yy tu!!
Yani nikikumbukaga nacheka sana!!
Ile swagger yake ya kuvunja kishoka kwenye Ford ranger 🀣
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Zaba nahisi walizichangamkia chap ?
Ila ntakuchapa umesafiri hata kunibless clinique jamani😭
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Zabba ziligombewa km njugu, ss hivi zimekuja BAPPE, NASA, SUPREME, LV, AMIRI brand km zoteeee.!! Clinique usijali next time ntakubless
 
Safi hongera sana.
Changanya na plain nikija na Bucci boy na mimi nikuungishe.

AsanteπŸ™πŸΌπŸ˜πŸ˜
 
Plain hazina soko, hizo nitakuwekea special order usijali.. 😍
 
Amos Makala- BIG NO
Jokate Mwegelo- BIG NO
Shaka Hamidu Shaka- BIG NO
David Kafulila- BIG NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…