Pendekezo: Badala ya Serikali kutoa elimu bure, fedha hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa wote

Pendekezo: Badala ya Serikali kutoa elimu bure, fedha hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa wote

Kwahiyo Afya iwe bure alafu Elimu ilipiwe ??? Alafu mnauliza kwanini CCM inatawala hadi karne hii,, nadhani mmepata jibu
 
Kwani watanzania wengi wanaumwa? Mbona ni asilimia ndogo tu sana mitaani na vijijini ndio wagonjwa lakini elimu ni hitaji la wengi sana population kubwa sana.

Wagonjwa sehemu ndogo mno ya population
Upo sawa lakini fikiria kwanza wewe kama mzazi unazaa mtoto unajua fikra huyo mtoto akitimia miaka 5 -6 unapaswa umpleke shule.
Why usijiandae miaka yote hiyo kumtafutia maitaji ya shule mwanao?,
Lakini ndugu yangu ugonjwa auna hodi akuna kujiandaa unakukumba muda wowote huwe na pesa au husiwe na pesa ngumu kujiandaa.
Ni vema hizo pesa ziwekwe kwenye afya .
Huyo mtoto mnayemsomesha Bure kama ana afya ata shule aji ni kupoteza pesa Bure tu
 
Nilipoona neno bule mwanzoni nilidhani ni typing error, ulipolirudia zaidi ya mara moja, kisha unatoa ushauri kuhusu elimu, nimegundua ni kwa kiwango gani elimu yetu imeshuka. Hata ulichoandika nimekipuuza.
Alipaswa kumtumia mhariri kabla ya kuchapisha mtandaoni...
By the way ni idea nzuri lakini haijahaririwa vizuri na mhariri / mtoa mada.
 
Back
Top Bottom