Pendekezo: Eng. Kakoko amrithi Patrick Mfugale

Nachofahamu wakurugenzi wa mikoa wengi Wana uzoefu mzuri sana kwenye mambo ya ujenzi ukiacha engenders ambao wapo wizarani na kwingine.

Halafu sidhani kama kuwa DG wa Tanroads lazima uwe engineer. Tusikariri sana kama ilivyokuwa BOT, TPA, NSSF na kwingine.
 
Hawajabadilisha Sheria yao kweli? Maana mfugale mbona aliongezewa muda instead ya kutangazwa nafasi? Halafu Ile ni Executive Institution ipo chini ya wizara wanaoomba labda ianze kama internal memo akikosekana ndio watangaze.

But utaishia kwenye internal memo anapewa mtu kwa maagizo.
 
Halafu msaidizi wake awe Lengai Ole Sabaya! Au Daudi Albert Bashite. Hii itasaidia sana kuienzi Legacy!!
 
Hili ni jizi saana linapaswa kufilisiwa, lilikuwa na kiburi cha kupindukia pale TPA na hakuna wa kumwambia kitu, yaani mbabe hadi kwa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA walikuwa hawafurukuti kuhoji chochote, wakumzingua anamvutia waya Jiwe, wananywea.
 
Kwani hii nchi waliosomea barabara ni hao tuu.
 
Humjui vizuri Kakoko wewe kaa kimya, hana Management skills za kuiongoza TANROADS, alicho nacho tu uwezo mzuri na bidii ya kufanya kazi lakini ni mpenda sifa, mwizi, jeuri,katili na mlafi wa pesa sana. Miaka mitano aliyokaa hapo TPA amelivuruga sana shirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…