Mapendekezo
Member
- Jun 11, 2021
- 28
- 39
Tusiweke negative attitude mkuuWazo zuri lakini wengi wenu mnaojifanya kumuenzi ni maneno matupu na wapiga dili tu.
Ukweli usemwe, Magufuli hakuwaga mnafiki alijiita mpenzi wa MunguTusiweke negative attitude mkuu
Tusahau mapungufu yake tuchukue mazuri yakeUkweli usemwe, Magufuli hakuwaga mnafiki alijiita mpenzi wa Mungu
What about Nyerere? Mkapa je? Acheni huu upuuzi wa kumfanya Mwendazake kuwa kama malaika flani. Yote aliyofanya ni kwa fedha za walipakodi wa Tanzania. Lakini kama ni lazima kumuenzi, wapeni watoto wenu majina yake 😡Salamu kwa wanaJF.
Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.
Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.
Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.
Michango ya kuonesha soliderity iende huku.
Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Tupunguze wivuWhat about Nyerere? Mkapa je? Acheni huu upuuzi wa kumfanya Mwendazake kuwa kama malaika flani. Yote aliyofanya ni kwa fedha za walipakodi wa Tanzania. Lakini kama ni lazima kumuenzi, wapeni watoto wenu majina yake 😡
Demokrasia itamtendea haki.kama aliharibu ataadhibiwa na kama amesingiziwa atasafishwa.Kweli kabisa halafu Sabaya ndio awe msimamizi wa huo mfuko🤣🤸🐒
Sabaya ni kijana mchapa kazi na ameisaidia sana serikali kukusanya mapato !Demokrasia itamtendea haki.kama aliharibu ataadhibiwa na kama amesingiziwa atasafishwa.
Naamini kuna namna ambazo zipo za kuwakumbuka Nyerere na Mkapa.What about Nyerere? Mkapa je? Acheni huu upuuzi wa kumfanya Mwendazake kuwa kama malaika flani. Yote aliyofanya ni kwa fedha za walipakodi wa Tanzania. Lakini kama ni lazima kumuenzi, wapeni watoto wenu majina yake 😡
Nakataa.Magufuli alisema Tanzania ni tajiri sana.Sasa tuchangie nini tena?Tu-exploit rasilimali zetu ziwekwe kwenye hilo kapu.😝😝😝😝Salamu kwa wanaJF.
Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.
Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.
Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.
Michango ya kuonesha soliderity iende huku.
Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Au tuite Ben Saanane fund?
Tumuenzi kwa lipi? Hatuwezi kumuenzi mtawala aliyekuwa dikteta, mbakaji wa katiba, mvunjaji wa sheria, muasisi wa siasa za Chuki na kibaguzi, tuhuma kibao za ufisadi na wizi wa fedha za umma, aliyetesa na kupoteza raia wasio hatia kwa kutofautiana nao kisiasa, mi nafikiri ingetafutwa namna kumbukumbu zake zote zifutwe, huyu angetawala tena miaka mingine 5 nchi ingekuwa jehanamu, Mwenyezi Mungu alijibu maombi yetu 17 March 2021Salamu kwa wanaJF.
Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.
Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.
Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.
Michango ya kuonesha soliderity iende huku.
Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Dikteta huyo atakumbukwa na alshabaab wenzieSalamu kwa wanaJF.
Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.
Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.
Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.
Michango ya kuonesha soliderity iende huku.
Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Muenzi wewe na shangazi zako!!Salamu kwa wanaJF.