Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Mshaanza kumkana mungu wenu wa ChattleEti 'Falsafa' za Magufuli
Ma Rais wa Tanzania waliokuwa ni wana Falsafa ni Julius Nyerere na Benjamin Mkapa pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshaanza kumkana mungu wenu wa ChattleEti 'Falsafa' za Magufuli
Ma Rais wa Tanzania waliokuwa ni wana Falsafa ni Julius Nyerere na Benjamin Mkapa pekee
Hebu Mfuate alipo halafu utupe update ya Namna anavyoongoza Malaika kwanzaSalamu kwa wanaJF.
Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.
Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.
Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.
Michango ya kuonesha soliderity iende huku.
Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Mshaanza kumkana mungu wenu wa Chattle
Kwanini sii uzalendo fund,keanu yenyewe imeshaanza kufanya kazi.Salamu kwa wanaJF.
Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.
Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.
Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.
Michango ya kuonesha soliderity iende huku.
Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Tuweke +ve mtufanye kingugaindugaiTusiweke negative attitude mkuu
Huyo katili dikteta mkitaja jina lake wengine tunakosa amaniSalamu kwa wanaJF.
Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.
Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.
Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.
Michango ya kuonesha soliderity iende huku.
Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Wakati tunaanzisha mfuko huo pia katika Kila mradi tuweke picha ya AKWILINA,BEN SANANE,AZORY GWANDA,SIMON KINGUYE ili tumuenzi ipasavyo.Salamu kwa wanaJF.