Pendekezo: Ili kumuenzi Hayati Magufuli ianzishwe Magufuli Infrastructure Development Fund-MIDF


Kama walivyofanya Kikwete na Mkapa naye Magufuli anatakiwa awe na Mungufuli foundation ambayo ndiyo itaamua kitu gani na mradi gani wafanye. Hii sio shughuli ya serikali kufanya na haitakiwi kuingilia. Hii inatakiwa kuwa inajitegemea kama foundation nyingine na zitafute pesa hata kama ni Kenya, USA .... na wadau wote waliokuwa wanampenda. Lakini siungi mkono serikali kuanza kufanya vitu vya kupongezana kwa pesa za wananchi. Foundation nyingine za wastaafu zinajiendeleza zenyewe.
 
Eti 'Falsafa' za Magufuli

Ma Rais wa Tanzania waliokuwa ni wana Falsafa ni Julius Nyerere na Benjamin Mkapa pekee
Na ndio maana hata watu wenye akili zao Bill clinton na Tony blair, wanafahamu mchango wake (Mkapa) duniani.Ila huyo mwingine meko hapana,
 
Foundation ndio inatakiwa kuisaidia serikali kwenye baadhi ya mambo na sio setikali tena ndio isaidie foundation, mfano mkapa foundation imesaidia sana serikali kwenye sekta ya afya, hasa kwenye remotes areas!!!
 
Nitachangia kiasi hicho endapo nitafahamu Trillioni 1.5 za Airport ya Chato zilitumikaje..

Aione Prof Assad kwenye file..
 
Eti 'Falsafa' za Magufuli

Ma Rais wa Tanzania waliokuwa ni wana Falsafa ni Julius Nyerere na Benjamin Mkapa pekee

Mkuu this is not fair. Umepuuza kabisa falsafa ya β€œRuksa” baada ya mbinyo mkali wa ujamaa?

Unaweza kukosoa utekelezaji lakini ilikuwa falsafa kiaina iliyojaribu kuchanganya ujamaa, ubepari na utashi wa mtu binafsi. Labda ilikosa andiko rasmi tu. Dhana kama PPP zilichipukia hapo. B. Mkapa aliibukia hapo.
 
MAGUFULI DONA COUNTRY PROJECT ( MDCP)
 
What about Nyerere? Mkapa je? Acheni huu upuuzi wa kumfanya Mwendazake kuwa kama malaika flani. Yote aliyofanya ni kwa fedha za walipakodi wa Tanzania. Lakini kama ni lazima kumuenzi, wapeni watoto wenu majina yake 😑
Basi tutamuenzi tundu lisu kwa kuwa shoga yake na rob amster
 

[emoji122][emoji122]
 
Mfuko utatoa wapi fedha hizo? Tupe vyanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…