"Mtawaliwa siku zote anataka kumuigiza mtawala katika maumbile yake, mavazi yake, kazi zake na yote yanayokhusiana na hali yake na dasturi zake". —Ibn Khaldun
Hivyo waTanzania hizi dini za kuja kwa majahazi, merikebu, farasi na punda ziitufanye tukazikazia juhudi kuwa dini hizi ngeni ni zetu.
Dini zetu za kweli za Afrika zilizojikita ktk mizuka, madogoli, mahoka, matambiko n.k tuzienzi kwa wivu mkubwa na zirejeshwe kwani hazijihusishi na kutugawa kisiasa , kuleta ushawishi wa kujaribu kubatiza au kusilimisha wengine , kuwaona wengine ni washenzi au wasiostaarabu .