Mkuu,Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya kuegemea Chadema au CCM.
Lowassa akiwa CCM aliahidi kuunda wizara ya dini endapo angechaguliwa kuwa Rais, nadhani aliona mbali.
Maendeleo hayana vyama!
the formula E = mc2.
Kwanini usituambie tusiwe na dini kabisa?"Mtawaliwa siku zote anataka kumuigiza mtawala katika maumbile yake, mavazi yake, kazi zake na yote yanayokhusiana na hali yake na dasturi zake". —Ibn Khaldun
Hivyo waTanzania hizi dini za kuja kwa majahazi, merikebu, farasi na punda ziitufanye tukazikazia juhudi kuwa dini hizi ngeni ni zetu.
Dini zetu za kweli za Afrika zilizojikita ktk mizuka, madogoli, mahoka, matambiko n.k tuzienzi kwa wivu mkubwa na zirejeshwe kwani hazijihusishi na kutugawa kisiasa , kuleta ushawishi wa kujaribu kubatiza au kusilimisha wengine , kuwaona wengine ni washenzi au wasiostaarabu .
Mambo haya yalivyo unaweza kusema kitu fulani ni asili yako ila kumbe kitu hicho kilitokana na watu wa jamii fulani huko kwa maana hicho unachoita ni asili ukichimbua sana unakuta jambo lenye asili ya sehemu nyengine kabisa.ASILI NA TAMADUNI ZA KIAFRIKA | WABEMBE
Asili yako mwaAfrika ndiyo itakuletea maendeleo achana na kukumbatia asili za kuja zilizo ktk imani ya mgeni n.k .
Maendeleo huanza na mwanzo, na mwanzo huo ni asili yetu , hatuwezi kuwa na maendeleo tukianza na asili za wageni
Ujuzi na uelewa huanza ktk kitovu cha jamii yenu na chimbuko lako la asili na siyo chimbuko au asili ya kutoka ugenini.
Kwanini usituambie tusiwe na dini kabisa?
JKatika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya kuegemea Chadema au CCM.
Lowassa akiwa CCM aliahidi kuunda wizara ya dini endapo angechaguliwa kuwa Rais, nadhani aliona mbali.
Maendeleo hayana vyama!
Haya ndio madhara ya kushinda kutwa nzima JF to an extent unaishiwa cha kuandika, na kuishia kuongea pumba kama hizi. Get a life, young man.Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya kuegemea Chadema au CCM.
Lowassa akiwa CCM aliahidi kuunda wizara ya dini endapo angechaguliwa kuwa Rais, nadhani aliona mbali.
Maendeleo hayana vyama!
Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya kuegemea Chadema au CCM.
Lowassa akiwa CCM aliahidi kuunda wizara ya dini endapo angechaguliwa kuwa Rais, nadhani aliona mbali.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa nchi kama hii kuwa na wizara ya mambo ya dini ni kuongeza matatizo mengine.Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya kuegemea Chadema au CCM.
Lowassa akiwa CCM aliahidi kuunda wizara ya dini endapo angechaguliwa kuwa Rais, nadhani aliona mbali.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo watu tunatofautiana mfano wewe unaweza kutaka kufuata imani kwa sababu tu ni imani walizokuwa nazo mababu zetu na kuita ni imani zetu za asili,lakini mwengine hiyo hali ya imani kuwa ya mababu na ya asili bado akaona si hoja yenye kutosheleza kwa yeye ndio afuate tu hiyo imani. Ndio maana nikasema kwanini tusiache kabisa kufuata tu hizi imani? Kwani tusipofuata tutapungukiwa nini?Hapo ndipo unakosea mkuu, waAfrika tuna imani zetu ambazo ndiyo dini yetu ya asili. Hizo dini za wengine za kuja tuziache.
Tatizo watu tunatofautiana mfano wewe unaweza kutaka kufuata imani kwa sababu tu ni imani walizokuwa nazo mababu zetu na kuita ni imani zetu za asili,lakini mwengine hiyo hali ya imani kuwa ya mababu na ya asili bado akaona si hoja yenye kutosheleza kwa yeye ndio afuate tu hiyo imani. Ndio maana nikasema kwanini tusiache kabisa kufuata tu hizi imani? Kwani tusipofuata tutapungukiwa nini?
Mkuu mababu/wazee wetu huko zamani walifanya mambo yao kwa misingi na taratibu zao kutokana na nyakati walizokuwa nazo,sasa tusiaminishane kuwa kila kitu chao kilikuwa sahihi tu, hivyo sisi tunatakiwa kufuata tu wakati mambo mengine waliyafanya kutokana na mazingira waliyokuwa nayo wakati huo.Utapoteza uasili wako . Mfano nikijiita John Baptiste wakati mimi kwetu ni Masasi na majina yetu ya kiasili ni Chakumwenda Chikwenda. Mtu akisoma makaratasi yangu yaliyoandikwa John Baptiste anakuwa hana uhakika kama natokea Haiti, France au Tanganyika. Lakini akiona jina Chakumwenda Chikwenda atajua huyu ni "mmatumbi" tena anatokea maeneo ya Kusini mwa Afrika inaweza kuwa Masasi Tanganyika , Malawi au Zimbabwe na siyo mbali maeneo ya France, Haiti au Quebec Canada.
Pia kutambika kwa Mulungu / Mungu wetu nikitaja Chakumwenda Chikwenda mizimu lazima iitike kwa wepesi! Maana nitakuwa nimeigusa chimbuko hasa la wahenga. Kifupi jina John Baptiste linakufanya uwe mgeni ndani ya Tanganyika. Huwezi kumkuta mfaransa asilia akakubali kuitwa Chakumwenda Chikwenda huku amezaliwa Marseille Ufaransa na mababu na mababu zake wote ni waFaransa wa Corsica, France.
Nimesoma wazo.Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya kuegemea Chadema au CCM.
Lowassa akiwa CCM aliahidi kuunda wizara ya dini endapo angechaguliwa kuwa Rais, nadhani aliona mbali.
Maendeleo hayana vyama!
Na Waziri wake angekua dini gani??Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya kuegemea Chadema au CCM.
Lowassa akiwa CCM aliahidi kuunda wizara ya dini endapo angechaguliwa kuwa Rais, nadhani aliona mbali.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo la dini za wawili hazina vitabu vya dini watu tegemeo lao ni vizee viongo viongo vinavyojitia kujua dini za kusajili wakati vitapeli tu vinataka sifa hewa za uongo wao unaotoka kwenye midomo ambayo hata miswaki havijawahi piga toka vizaliweASILI NA TAMADUNI ZA KIAFRIKA | WABEMBE
ISHARA 7 ZA KUDHIHIRISHA KUWA UNA ASILI YA WABEMBE NA UNATAKIWA KUIENZI
Source : Tanganyika TV
Asili yako mwaAfrika ndiyo itakuletea maendeleo achana na kukumbatia asili za kuja zilizo ktk imani ya mgeni n.k .
Maendeleo huanza na mwanzo, na mwanzo huo ni asili yetu , hatuwezi kuwa na maendeleo tukianza na asili za wageni
Ujuzi na uelewa huanza ktk kitovu cha jamii yenu na chimbuko lako la asili na siyo chimbuko au asili ya kutoka ugenini.
Mtu akiwa na hekima ya asili, wageni hutaharuki na kutaka kujua kasoma elimu yake wapi ! Wageni wakijua hekima hiyo ni ya kutoka ktk asili ya mtu ya wahenga mababu zake (chimbuko la mfano Waha) basi wanajua ni ngumu kumuingia.
Ila kama kiongozi huyu, msomi huyu, mwanasiasa huyu ikiwa hekima ameipata 100% toka Harvard, Oxford, Fort Hare Republic of South Africa, Lumumba university Moscow, Freie Universität Berlin n.k basi ni rahisi kumuingia kwani akili yake inaeleweka imekuwa brainwashed na mababu wa kigeni wa USA, Germany, Russia, China , Turkey, Egypt n.k na ndiyo maana kina - johnthebastist wanaona umuhimu dini za kigeni kuundiwa wizara maalum tuzidi kujichanganya na kutokomeza asili zetu.
Wahenga wetu kama walivyo wageni wana aina ya misemo-siri yaani coded message. Sisi tumeipuuza misemo-siri yetu yenye hekima, ujuzi, tamaduni , desturi zetu na kukumbatia vya wageni na kutuacha 'uchi' kwani tuongeavyo tunaongea kama wageni na fikra zetu zimesukwa kigeni hakuna tunachoweza kukificha.
Waafrika hatuheshimu ndoto na maono yetu wakati wageni wanaheshimu ndoto za babu zao kina Albert Einstein, Isaac Newton n.k na kuja kugundua mambo makubwa. Lakini sisi tukisimuliwa ndoto na Wahenga wa milima ya Uluguru tunasema ni "wenge" ,"uchawi" au "tatizo la akili"