una miss definition sahihi ya internet
chukulia nchi-A na nchi-B zinataka kuwasiliana, anatokea mtu anamwaga pesa, anaweka bomba la mawasiliano kati ya nchi mbili , hiyo tayari ni internet, na hizo bomba ndiyo hizo zinapita baharini
bomba linapitisha barua pepe toka nchi-A kwenda nchi-B, au nchi-B kurudi nchi-A
huyu aliyeweka bomba, ni fibre provider (tier 3)
bomba likifika, nchi-A, bomba ndogo(fibres cable za size ndogo) zinatandazwa kwenda ndani ndani huko kumfikia mtu wa Kigoma, so anahitajika ISP, kama Voda
Voda analipia kwa fibre provider , kisha anaweka miundombinu yake(gateways) toka pale bomba kuu lilipoishia, atatandaza fibre/copper cables chini(au juu) au ataweka minara kufikiwa walengwa (mtumiaji wa ndani ndani)
ukiangalia vyema huo mtiririko, hakuna chanzo