Pendekezo: Jina la mkongo wa taifa lifutwe haraka

Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.

Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?

Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba?

Anyway wajuvi najua mtakuja kujimwambafy hapa kuhusu nani mmiliki wa internet lakini mkae mkijua swala la mtandao kuyumba mchi nzima kama taifa tumetia aibu.
Punguza ujuaji
 
H

Hata wewe unaweza kua na internet ya nyumbani kwako peke yako ila lazima content zote unazotaka ku access uwe nazo mwenyewe
 
Wewe ndio umeelewa sasa ninacho maanisha.
 
kwa nnavyojua hizo fiber hazina source wala destination, ni mfumo wa point-to-point (tuma/pokea)
ukisema kuwe na internet yenu wenyewe nchini, kwa mantiki hii servers zilizo nje ya nchi hutaweza zi-access
Kwa mfano. Unapo unga bando la vofa na kuwalipa voda, ina maana kwamba wao ndio chanzo cha hilo bando au na wao wamechukua sehemu? Na huko walikochukua hiyo sehemu na wao wanatoa wapi access? Hilo ndo nataka kujua
 
mzee, network haina chanzo, ni mlundikano wa mabomba toka point hadi point
VodaCom, wana geti kuu, wanafungua geti, wanakuunga wewe na huko mtandaoni na unacholipia ni huduma
ukilipia(hiyo bando), Voda anafungua koki, njia inafunguka wewe ujumuike mtandaoni

hata wewe unaweza kuwa Voda,
unatafuta fiber provider, point ya kuungia miundombinu yako
ununue miundombinu inayohitajika, vibali, etc utoze walaji
 
mzee, network haina chanzo, ni mlundikano wa mabomba toka point hadi point
VodaCom, wana geti kuu, wanafungua geti, wanakuunga wewe na huko mtandaoni na unacholipia ni huduma
ukilipia(hiyo bando), Voda anafungua koki, njia inafunguka wewe ujumuike mtandaoni

hata wewe unaweza kuwa Voda, ununue miundombinu inayohitajika, utoze walaji
So voda hawana sehemu wanakotoa hayoaji yanayopita bombani?(internet)
 
una miss definition sahihi ya internet
chukulia nchi-A na nchi-B zinataka kuwasiliana, anatokea mtu anamwaga pesa, anaweka bomba la mawasiliano kati ya nchi mbili , hiyo tayari ni internet, na hizo bomba ndiyo hizo zinapita baharini

bomba linapitisha barua pepe toka nchi-A kwenda nchi-B, au nchi-B kurudi nchi-A
huyu aliyeweka bomba, ni fibre provider (tier 3)

bomba likifika, nchi-A, bomba ndogo(fibres cable za size ndogo) zinatandazwa kwenda ndani ndani huko kumfikia mtu wa Kigoma, so anahitajika ISP, kama Voda
Voda analipia kwa fibre provider , kisha anaweka miundombinu yake(gateways) toka pale bomba kuu lilipoishia, atatandaza fibre/copper cables chini(au juu) au ataweka minara kufikiwa walengwa (mtumiaji wa ndani ndani)

ukiangalia vyema huo mtiririko, hakuna chanzo
 
Kama hajaelewa hapa hawezi kuelewa kamwe
 
Darasa safi kabisa
 
Back
Top Bottom