Iko haja sasa ya Mkuu wa Itifaki wa Chadema kuchukua uwakilishi wa Wananchi wa Vunjo wanaomuamini na ambao walimtaka tangu 2015 .
John Mrema ndio chaguo la Vunjo tangu awali lakini alikaa kando kutokana na kuheshimu makubaliano ya UKAWA , kwa faida ya wadau ni kwamba kama huyu jamaa akiamua kukubaliana na pendekezo langu la kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Vunjo , basi bila shaka atashinda kwa kishindo na hakuna wa kumzuia
Wakati umefika sasa kwa wananchi wa Vunjo kupata Mbunge wa kisasa mwenye fikra chanya zinazoenda na wakati