Uchaguzi 2020 Pendekezo: John Mrema agombee ubunge jimbo la Vunjo

Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Hivyo ni vyama vya siasa Bwashee na vinafanana kwa mambo mengi hivyo ondoa dhana ya uungu.
Wanapambana wanadamu na hivyo usimhusishe Mwenyenzi Mungu.
Na wakishakuwa wanadamu ujue kila mmoja ana madhaifu yake ya kishetani.
 
Tunakuleteeni siasa mwaka huu mkuu
 
Katika wanasiasa hawana njaa ni John mrema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile nyie ndio wapiga kura tayari mmeshinda. Ila kama kura ni siri ya mtu leteni box

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo letu kubwa ni kuukimbia ukweli,hatutaki kabisa kuusikia kitu kinachoitwa 'kweli"
Kwa jinsi hali ilivyo,chadema itashinda labda majimbo yatakayoamuliwa.
Usiniulize yatakayoamuliwa na nani,
Na Vunjo haitakuwa miongoni mwa majimbo hayo.
 
Mkuu uchaguzi wa mwaka huu mkileta ujinga huo ndio utakuwa mwisho wa Tanzania , chukua haya maneno uyatunze.

Nothing lasts longer .
 
Wewe ni nani uwachagulie wana vunjo mbunge wao??
 
Hili siyo pendekezo tena , bali ni MAELEKEZO kwa John Mrema
 
Mkuu John Mrema ni vema ukanijia inbox ili nipate msimamo wako kwenye hili , kiuhalisia jimbo la Vunjo liko wazi
 
Mkuu kwani John Mrema ni mkazi wa Vunjo? Kama sio mkazi, hakuna mwanacdm mwingine aliye vizuri huko vunjo ambaye ni mkazi wa huko?
 
Mkuu kwani John Mrema ni mkazi wa Vunjo? Kama sio mkazi, hakuna mwanacdm mwingine aliye vizuri huko vunjo ambaye ni mkazi wa huko?
Mrema ni mkazi wa kuzaliwa na kukulia Vunjo , ndiye aliyepewa kijiti na Chadema kugombea ubunge Vunjo 2015 , lakini ilibidi ajiondoe ili kuheshimu UKAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…