Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Make no mistake about, I'm pro East African, and what you just said about education, is similar to what I said about common knowledge. Big number of people luck the knowledge of what's EAC is all about, and were is EAC going. Our leaders are going around the bush with this subject. Wengine wanataka, wengine wanataka nusu, wengine hawana uhakika nini wanataka, ilihali mvutano tuu.That person from Singida might not necessarily move to Nakuru, but he/she could be among the 40% of Tanzanians who don't even know what the EAC is. Having the EAC flag on our car plates will make him/her question more and in the process learn more about the EAC.
You know, I don't think that people don't have money to cross borders. For instance, create a harmonized unified hugher education system in the EAC utaona watu wakivuka mipaka. Sisi ndo tumeifunga mipaka yetu wenyewe na kumfanya mtu wa Singida atake kwenda kusoma UDSM na sio Makerere au UoN!
So, once again we have a chicken and egg scenario. What should come first? Should we wait for huyu mtu wa Singida atake kuvuka mpaka au we should create push factors for him/her to want to cross?
This is why Cicero .....This comment summarises why EAC cant workEAC haina faida kwa Tanzania, waachotamani ni ardhi yetu tu maana nchi wanachama wa EAC wana uhaba wa ardhi.
But i still love them Kenya is Literally the only Country in Africa Still using The colonial Number plates .....kenyan plates are the ugliest in the region pants down, they look as if they are made for the blind. ugandas nd rwandese are better looking, tanzanias front yellow plate are also aestheticaly terrible..
You always there for benefits, whilst no benefit in plate numbers you must ignore the idea.. This is how Kenyans are.. Selfishness.!This cooperation should strictly be about trade, all these ideas, ati sijui currency, number plates what have u......are we not overreaching ourselves here? The countries need not lose their identities ati in the name of the EAC!
Katafute mtu akutafsirie ulichoandika.You always there for benefits, whilst no benefit in plate numbers you must ignore the idea.. This is how Kenyans are.. Selfishness.!
Nadhani hata yeye hajui tafsiri ya alichoandika.Katafute mtu akutafsirie ulichoandika.
EAC haina la maana, acha watanzania tufurahie nchi yetu.This is why Cicero .....This comment summarises why EAC cant work
Kenya And Somalia have a legitimate chance of Becoming one within The next 5yrs with/without war than EAC in 100yrs at Peacetime...
Ni lini watanzania waliulizwa kama wanataka shirikisho la EAC na sio kwamba lilikuwa ni wazo binafsi la Nyerere? hata Zanzibar kinachoonekana kwa wapinga muungano ni kwa sababu muungano huo haukupata ridhaa kwa wananchi, hawakuulizwa kama wanautaka au hawautaki muungano. Hivi jumuiya za kiuchumi kama ECOWAS na SADC zimeleta utajiri kwa nchi gani Afrika?Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usiwe kisingizio cha kucheleweshwa kwa Shirikisho la Afrika Mashariki.
Nyerere mwenyewe alisema the only way to break the Tanzaian union ni kama nchi zote mbili (Tanganyika na Zanzibar) zitakuwa ndani ya Shirikisho la Afrika Mashariki.
Hivyo basi EAC ni suluhu la kudumu kwa kero za muungano wa Tanzania
oyo sam, ngokwana Ekegusii egeke, bwakire buya?But i still love them Kenya is Literally the only Country in Africa Still using The colonial Number plates .....
Watanzania wengi wanalitaka shirikisho la EA.......tunatofautiana tu kwenye muundo wa serikali ya shirikisho na mda wa kuanzishwa kwake.Ni lini watanzania waliulizwa kama wanataka shirikisho la EAC na sio kwamba lilikuwa ni wazo binafsi la Nyerere? hata Zanzibar kinachoonekana kwa wapinga muungano ni kwa sababu muungano huo haukupata ridhaa kwa wananchi, hawakuulizwa kama wanautaka au hawautaki muungano. Hivi jumuiya za kiuchumi kama ECOWAS na SADC zimeleta utajiri kwa nchi gani Afrika?
Uganda na Kenya wana mgogoro wa kisiwa cha migingo kiasi cha kutishiana, Burundi na Rwanda wana migogoro ya muda mrefu, hilo shirikisho lina maana gani ikiwa hadi sasa hakuna maelewano na migogoro imeshindwa kutatulika?
Hao watanzania wengi unaosema wanalitaka shirikisho hilo waliulizwa na nani, lini na wapi? kama umesema wananchi wanalitaka shirikisho maana yake wanaelewa yote kuhusu shirikisho sasa kwanini useme elimu itolewe wakati wanafahamu kuhusu shirikisho?Watanzania wengi wanalitaka shirikisho la EA.......tunatofautiana tu kwenye muundo wa serikali ya shirikisho na mda wa kuanzishwa kwake.
Mi nadhani cha muhimu elimu itolewe kwa raia kuhusu faida za Shrikisho, na watu waeleweshwe kwamba kila nchi itabaki na serikali yake itakayokuwa na mamlaka kamili juu ya mambo ya ndani ya nchi.
Tafuta ripoti ya Profesa Sam Wangwe na nyingine ya kamati ya Amos Wako.Hao watanzania wengi unaosema wanalitaka shirikisho hilo waliulizwa na nani, lini na wapi? kama umesema wananchi wanalitaka shirikisho maana yake wanaelewa yote kuhusu shirikisho sasa kwanini useme elimu itolewe wakati wanafahamu kuhusu shirikisho?
Hapo sahihiTanzania tulishasema na nchi zingine za EAC zikakubali kuwa suala la ardhi halina mjadala kila nchi mwanachama itabaki na mamlaka kamili juu ya matumizi ya ardhi yake
Plate number zao ziko chonjo sana [emoji817] [emoji108]i like tanzanian plates.Just curious how do you name those plates is it from the region you come from?
Hayo maoni hakuna mtu ninayemfahamu aliwahi kukutana na akaulizwa kama anapenda shirikisho la EAC au lah. Ili suala hilo liwe na maana ilitakiwa ifanyike fair referendum, hatuwezi kutegemea tume ya mwanaccm Prof Wangwe kama ukweli.Tafuta ripoti ya Profesa Sam Wangwe na nyingine ya kamati ya Amos Wako.
Tume zilishaundwa na kukusanya maoni ya wananchi zamani tu.
Hiyo ni fitina potovu, vitu nusu nusu haviwezi kubalika kamwe!! Ukiingia ingia ama sivyo enda zakoHapo sahihi