Pendekezo: Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ianzishe mfumo mmoja wa kusajili magari (number plates)

tufanye vya msingi kwanza: kusawazisha forodha, kodi, soko huru, standards, kisha hayo number plate unayotaka yaje. Na hapo ndio wabongo mnakera na usuaji wenu.
Me i think tuanze na hivi vitu vidogo hayo makubwa yatafuata tu yeyewe
 
Wisely says
 

You are assuming that we all want the slumbering old East African Community, WE DON'T!

Tanzanians have handily rejected the ruse and fraud of East African Community since the 70's.
 
You are assuming that we all want the slumbering old East African Community, WE DON'T!

Tanzanians have handily rejected the ruse and fraud of East African Community since the 70's.

Wasikie sasa wanavyoongea, vigeugeu, watu ambao hawawezi aminika kwa lolote!!

lakini mbona watz wanafik kiasii hiki??
 
Wasikie sasa wanavyoongea, vigeugeu, watu ambao hawawezi aminika kwa lolote!!

lakini mbona watz wanafik kiasii hiki??

Wanafiki kwa vipi wakati tumesema wazi wazi toka mwanzo kwamba hatutaki license plates za pamoja, kwamba hatutaki kugawa ardhi kwa Afrika Mashariki.

Halafu tukasema, tukatoa tamko with an official, unequivocal statement, kwamba hatutaki ku sign treaty ya zero-tarrif regime with the European Union.

Then we came out in broad daylight, on live Television and said, the Tanzania's aviation authority said that we are going to curtail the Kenya's untrummeled use and misuse of our airspaces, and cut the KQ's flight frequency from 42 flights a week to a disciplined 14.

I mean, we could not be more clear and forthcoming about our mistrust and distate of the old slumbering East African Community.

We said that in the 70's, for the love of God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…