Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
waha ni mabingwa wa uchawa.Hata nikigombea mimi kwa tiketi ya chama chochote against CCM ni dhahili nitashinda - cha msingi sasa CCM waanze kuona aibu - nchi na dunia nzima wanachekwa kwa namna walivyoendesha zoezi la uchaguzi Mkuu uliopita - Mama Samia usikubali matope haya wakupake na wewe !! Waambie atakayechezea chaguzi hizi ndogo zikileta maafa ni wewe na yeye !!
Otherwise Kigoma yote by nature ni Opposition sababu waha wanajua HAKI zao na wanajitambua.... Muha by nature si mtu wa kujikombakomba eti asaidiwe - ni wapambanaji.
Miaka ya 90's walianza vuguvugu la kutaka kuanzisha State yao baada ya kuona Serikali imewasahau mno as if wao si sehemu ya nchi ya Tanzania.