Pendekezo: Kama Zitto Kabwe atagombea ubunge jimbo la Muhambwe basi CHADEMA imuunge mkono

waha ni mabingwa wa uchawa.
 
Muhambwe kuna Mkosamali, yeye aende Buhigwe ambako ni jirani na nyumbani kwao!
 
Naunga mkono Zitto akichaguliwa.

Wana ccm wamuunge mkono.
 
Zitto haaminiki, anaweza akapandikizwa kwenye hilo jimbo kuwa mgombea wa ccm kwa ticket ya Act
 
Kigoma kaskazimi walimkataa kwa sababu ni muislam so aka swap na Serukamba ili wote wagombee maeneo ya dini zao!!

But ambalo lipo wazi ni Zitto anakubalika sana kigoma bila kujalisha ni Jimbo gani but chama alichopo ndio kimempunguza nguvu.

Then tukiacha madhaifu yake but ni muhimu sana bungeni kuliko wabunge 100 wa CCM hasa kuchambua miswada, Bajeti, na ripoti za CAG.

Kwa hili nashauri agombee hapo Kibondo nina imani atatangazwa mshindi maana ACT wana MoU na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…