Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tofauti kubwa ya kiswahili kama somo na kiswahili kama lugha. Na kuna tofauti kubwa ya english kama somo na english kama lugha. Hata somo la english Language tunalofundishwa, kiukweli tunafundishwa kama somo na sio kama lugha kwa lengo la kumfanya mtu ajue lugha. Mimi bado napendelea kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia, na english ibaki kama somo la lazima kuanzia chekechea hadi chuo kikuu.Mnaopigia debe kiswahili kitumike kufundishia huwa siwaelewi. Ila kwa taarifa
1. Somo la Kiswahili ni miongoni ya masomo Wanayofeli wanafunzi wetu.
Kuna Mwaka Raia wa China aliongoza ktk somo la kiswahili matokeo ya kidato cha nne
2. Tafiti zinaonesha Kenya wanaongea Kiswahili Fasaha kuliko Sisi.
Kwa sababu hatujajipanga kimkakati kubadili hali hio kama ilivyo masomo mengine piaSasa mbona Tz inajulikana kuwa kiingereza ni shida kwetu na wengi hawajui kiingereza pamoja na kuwa kinatumika kufundishia huko mashuleni?
Sasa mbona kuna kuwa na hoja ya kwamba tukitumia kiswahili kufundishia tutakuwa hatujui kiingereza na kushindwa kuwasiliana kwa kiingereza hali ya kuwa hivi sasa hicho kiingereza hatujui?Kwa sababu hatujajipanga kimkakati kubadili hali hio kama ilivyo masomo mengine pia
Watu wana PHD na wamesoma kwa kiingereza ila kuzungumza kiingereza hawawezi.Duh! Hapana mtoto wangu atasoma Kiingereza.
Nakipenda Kiswahili ila hapa hapana.