Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

Upelelezi chini ya jeshi la polisi ni duni mno.

Hata kutambua tu taarifa za akaunti ya benki iliyopokea pesa za utapeli inachukua muda mrefu.

Namba ya simu inayopatikana hewani,kufahamu mahali ilipo napo miezi.

Hili Wazo ni muhimu kwa ajili ya kuongeza ufanisi zaidi.
 
Wanasikia basi!Kikianzishwa kitu kama hicho,watapata wakati mgumu kuwabambikizia kesi wasiowapenda!
 
nikisikia neno upelelezi kwa siku za karibuni nasikia masikio yangu yakivuma "tocha tocha"
 
Hujawi jaa kwenye anga za hao majamaa siku ukijaa ndiyo utajua hiyo mijamaa unalijua wewe tokea siku unazaliwa
 
Wacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Nyie polisi hivi kwa nini uwezo wa kujenga hoja wengi wenu hamna? Jamaa kaandika kwa maelezo mepesi hata mtoto wa darasa la kwanza angeelewa.
 
Nakuunga mkono yaani polisi wa upelelezi wengi hawajui majukumu yao kazi kuomba pesa ya vocha .
Kukiwa na kitengo kinachojitegemea kwanza watakaoingia kule watachujwa pili kutakuwa na uwajibikaji.
 
Mmh.

Lakini hata hiko kitengo kikiundwa kikawa kinajitegemea huoni kuwa kuna mambo yatafanywa na wao wemyewe watu wa kitengo alafu ikapelekea kusuasua kwa upelelezi kama wanavyofanya polisi kusuasua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…