Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau)
Vyovyote watakavyofanya sisi waafrika are not faithful, tutabadili majina ya taasisi lakini watendaji ni walewale na tabia ni zilezile
 
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).

Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
Hii kitu ni very Logical mkuu, big up sana.
Wakuu Malcom Lumumba Chige Mzee Mwanakijiji JokaKuu My Son drink water hebu pitieni uzi huu
 
kwa Tz ningumu kwasababu ya dhuluma inayotumiwa na kitengo hiki.. Unaweza singiziwa na kupotezwa bila msaada... Ukifanya taasisi huru utawavunjamiguu watawala kwa nchi kama Rwanda hiki kitengo hakipo mbali na utawala hivyo kinafanya mambo ya mwenye nchi... Kwaheri
 
Hahaha Wakili msomi unanisikitisha sana unaposema eti mtuhumiwa anakamatwa tu ukiwa na ushahidi wa kutosha! Ingekuwa hivyo then kusingekuwa na haja ya upelelezi baada ya mtuhumiwa kukamatwa. Sijawahi ona ama kusikia hata huko mataifa makubwa yaliyoendelea kama mtuhumiwa hukamatwa tu na kufikishwa mahakamani na kesi ikaanza kusikilizwa hasa kwenye kesi hizi za Money Laundering na Cyber Crime.
Wenzetu wanafanya upelelezi na kuchukua evidence ukiwa unatekekeza uhalifu, mathalan wanaweza kuweka hata pin hole cameras kukunasa ukifanya uhalifu. Wakikumata wanakuwa tayari wana ushahidi wa kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).

Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
Ni ushauri mzuri ila itakuwa vizuri ukijitegemea. Ikiwezekana ukae karibu na rais zaidi sio wilayani au mikoani. Zipelekwe kwenye kata moja kwa moja.
 
Nime chill hapa kujifunza toka mawazo yenu positive wadau
 
Wazo zuri sana, maana wakati mwingine unakuta eatuhumiea ni hao hao police na wapelelezi ni wao wenyewe sasa hapo unajipelelelezaje mwenyewe haki ikatendeka.
 
Tatizo kubwa linalizisibu nchi nyingi za kiafrika ni kuwa hazikuwa tayari kujitawala na ndio maana zikarithi tu mifumo ya kiutawala ya kikoloni kama zilivyokuwa.

Mifumo hii wakoloni waliitumia kukandamiza waafrika na watawala wa kiafrika vile vile kwa kutokupenda demokrasia, wakarithi na kuitumia kukandamiza waafrika wenzao.

Kwa muda mrefu sasa taasisi ya upelelezi ya makosa ya jinai CID imedhihirika isivyo na uwezo wala weledi wa kufanya uchunguzi wowote wa maana na badala yake imebaki na sifa ya kipekee ya kuwabambikia watu vyesi.

Tumeona ktk tukio lile la Lissu na hata wale wanaodaiwa kupotea na wengine kuuwawa, hakuna chochote walichofanya hawa watu na badala yake tunaona wakiwa busy kubambikia watu vyesi vya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.

This police department has completely outlived its usefulness and I think it's high time it should be relieved of its investigative role in the country's legal dispensation.

They're shamefully playing the role of a militant force in the ranks of a warlord.
 
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).

Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
Rwanda ni nchi wanachama wa umoja wa nchi za afrika mashariki, kuwepo kwa mabadiliko yao ya upelelezi katika idara ya usalama ndani ya polisi hizo ni jitihada zao na maono yao, sisi hapa kwetu tuna utaratibu wetu, mipango na utekelezaji wa tofauti na mataifa mengine na ndio inatupa heshima ya kipekee na nchi nyingine. Toa mapendekezo ya utekelezaji kazi mzuri kwenye kitengo na sio kila siku kuvunja vunja idara na kuunda mpya na kuongeza gharama za vitengo vipya na mzigo mwingine kwa serikali huu tukijitahidi kwenda na kasi ya kuinua maendeleo ya Taifa.
 
Nani kakwambia tatizo upelelezi tatizo kesi zakukomoana
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).

Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).

Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
Ukianzisha kitengo kama hicho Mambosasa atafungwa maisha
 
Hii kitu ni very Logical mkuu, big up sana.
Wakuu Malcom Lumumba Chige Mzee Mwanakijiji JokaKuu My Son drink water hebu pitieni uzi huu

..nadhani waliopewa mamlaka wamepungukiwa ktk KUTENDA HAKI.

..kabla ya kufikiria kuitenganisha idara ya upelelezi na jeshi la Polisi nadhani tungesisitiza kuhusu kutenda haki na kufuata sheria.

..Ofisi ya DPP ya sasa hivi imekuwa ya HOVYO kuliko wakati ilipokuwa ni kurugenzi ktk wizara ya sheria.

..Ushauri uliotolewa ni mzuri, lakini sidhani kama utatoa matokeo tofauti au mazuri kutokana na tabia na mienendo ya ndugu zetu tuliowakabidhi vyombo vyetu na mamlaka.
 
Upelelezi Tz tupo vizuri sana na kuna vichwa vizuri kwelikwel tuu vya kufanikisha shughuli za hiyo tasnia, hata kama hicho kitengo kinakuwa ndani ya jeshi LA Police ama laah!

Isipokuwa kwa upelelezi wa matukio ya ndani unakwama kwa sababu unakutana na ambao hutegemei, hapo chacha! Lazima inakuwa "upelelezi haujakamilika" ngumu kumeza .

Twendeni tuu hivi hivi kwanza , huku tukijifunza maadili na uzalendo wa nchi yetu mdogomdogo, tutafika huko baadaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).

Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
Lakini ili kisiingiliwe kinatakiwa kupewa kinga kikatiba ili hawa wabaki wakamataji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom