Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Hukutakiwa hata ku click hii topic. Endelea kufungu mada za x massMkuu tuko busy na NOEL/X-Mass. Unaonaje ukaenda ukawauliza Mahakama na Polisi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukutakiwa hata ku click hii topic. Endelea kufungu mada za x massMkuu tuko busy na NOEL/X-Mass. Unaonaje ukaenda ukawauliza Mahakama na Polisi??
Vyovyote watakavyofanya sisi waafrika are not faithful, tutabadili majina ya taasisi lakini watendaji ni walewale na tabia ni zilezileIna maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau)
Hii kitu ni very Logical mkuu, big up sana.Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Sio lazima ukae nao ili kukamilisha ushahidiTukikaa nao ili tukamilishe ushahidi mnalazimisha tuwapeleke mahakamani,.dawa.ni moja tu ML
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa Tz ningumu kwasababu ya dhuluma inayotumiwa na kitengo hiki.. Unaweza singiziwa na kupotezwa bila msaada... Ukifanya taasisi huru utawavunjamiguu watawala kwa nchi kama Rwanda hiki kitengo hakipo mbali na utawala hivyo kinafanya mambo ya mwenye nchi... KwaheriMoja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Wenzetu wanafanya upelelezi na kuchukua evidence ukiwa unatekekeza uhalifu, mathalan wanaweza kuweka hata pin hole cameras kukunasa ukifanya uhalifu. Wakikumata wanakuwa tayari wana ushahidi wa kutosha.Hahaha Wakili msomi unanisikitisha sana unaposema eti mtuhumiwa anakamatwa tu ukiwa na ushahidi wa kutosha! Ingekuwa hivyo then kusingekuwa na haja ya upelelezi baada ya mtuhumiwa kukamatwa. Sijawahi ona ama kusikia hata huko mataifa makubwa yaliyoendelea kama mtuhumiwa hukamatwa tu na kufikishwa mahakamani na kesi ikaanza kusikilizwa hasa kwenye kesi hizi za Money Laundering na Cyber Crime.
Ni ushauri mzuri ila itakuwa vizuri ukijitegemea. Ikiwezekana ukae karibu na rais zaidi sio wilayani au mikoani. Zipelekwe kwenye kata moja kwa moja.Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Unatakiwa uwe na evidence za kutosha ndio umkamate, kama huna na unakamata tu maana yake umetumwa
UtekajiWacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Mapungufu yake ni hayo aloyasema hapo juu,na kupendekeza kitengo hicho kutofautishwa na jeshi la polisi.Wacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Rwanda ni nchi wanachama wa umoja wa nchi za afrika mashariki, kuwepo kwa mabadiliko yao ya upelelezi katika idara ya usalama ndani ya polisi hizo ni jitihada zao na maono yao, sisi hapa kwetu tuna utaratibu wetu, mipango na utekelezaji wa tofauti na mataifa mengine na ndio inatupa heshima ya kipekee na nchi nyingine. Toa mapendekezo ya utekelezaji kazi mzuri kwenye kitengo na sio kila siku kuvunja vunja idara na kuunda mpya na kuongeza gharama za vitengo vipya na mzigo mwingine kwa serikali huu tukijitahidi kwenda na kasi ya kuinua maendeleo ya Taifa.Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Ukianzisha kitengo kama hicho Mambosasa atafungwa maishaMoja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Hii kitu ni very Logical mkuu, big up sana.
Wakuu Malcom Lumumba Chige Mzee Mwanakijiji JokaKuu My Son drink water hebu pitieni uzi huu
Lakini ili kisiingiliwe kinatakiwa kupewa kinga kikatiba ili hawa wabaki wakamatajiMoja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.