Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

Kwanza ni kwa nini kesi hizo za utakatishaji fedha na makosa ya kimtandao zisiwe na dhamana?

Kesi ili iwe mahakamani ni lazima kuwe na ushahidi na kuendelea kumshikilia mtu kwa kisingizio kwamba ushahidi haujakamilika ni kinyume cha sheria.
Ni sheria mkuu imepitishwa na wabunge aliochanguliwa na wananchi hivyo ni sheria iliyopitishwa na watz wenyewe.
 
Ni sheria mkuu imepitishwa na wabunge aliochanguliwa na wananchi hivyo ni sheria iliyopitishwa na watz wenyewe.
Unajua kwamba mahakama inaweza kukataa sheria inayoviza mahakama kufanya kazi zake kwa uhuru? Halafu hapa sheria ya kuendesha kesi haibagui aina ya kesi kwenye uendeshaji wa kesi.

Ili kesi ifike mahakamani ni LAZIMA iwe na ushahidi toshelevu siyo mambo ya hisia hisia tu.
 
Ngoja tukuteue uwe Jaji ukarekebishe mambo wakili msomi
 
Hakuna sheria ya hivyo just your interpretation bro.
Na sheria kuwa "Interpreted" ndiyo usheria wenyewe huo. Kama sheria itaruhusu watu kufikishwa mahakamani bila ya kuwepo kwa ushahidi wa kutosha bila ya shaka ile haki ya mtu kuwa huru kabla ya kutiwa hatiani mahakamani itakuwa imevunjwa.
 
Hata hapa ni interpretation tu.
 
Mimi na mahakama ni pete na kidole mkuu! Nafanyakazi huko huko mkuu
Kwani kaka yake Lissu na yeye si mwanasheria wa serikali, mwisho kamalolizia kumtetea ndugu yake dhidi ya serikali! Na wewe yatakukuta tu hata kama wewe ni jaji!
 
Kitendo cha Polisi na waendesha mashtaka wa serikali kuendelea kupeleka watuhumiwa mahakamani bila ya kuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya tuhuma zao ni kuidharau mahakama? Kwani nini wapeleke watu mahakamani kisha waseme kuwa ushahidi haujakamilika?
Kupelekwa mahakamani ni haki ya mtuhumiwa
Polisi hawaruhusiwi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya saa 48,wakiona kwamba kuna ushahidi watakupeleka mahakamani
Polisi wanatakiwa kukamilisha upelelezi ndani ya siku 60,lakini jamhuri inaweza kuiomba mahakama muda zaidi wa kuleta ushahidi kutokana na mazingira na uzito wa kesi
 
Kwani wewe ni mbwa koko au mbwa wa kufugwa?fahamu wewe ni mbwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mbwa sio kosa lake. Mbwa koko ana hadhi ya kuitwa mbwa kwani anaishi kama mbwa, lakini huyo wa kufugwa ana pretend kulingana na hulka ya mfugaji. Akiwa katili naye anakuwa, muoga naye pia na hata jinsi ya kufikiri.
Tofauti ya wa kufuga na koko utaipata kwa kumwangalia Makonda deeply.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna mahakama tz, hii mahakama ya Juma nayo mahakama? Hapana. Hatuna mahakama wala bunge.
 
Wana
Ndugu yangu hawezi kutekwa anafuate na kuheshimu sheria za nchi mkuu!
Wanaotekwa ni wavunjifu wa sheria?Kwa hiyo wanatekwa halafu wanakamatwa na kufunguliwa kesi za utakatishaji fedha?
Bado mnawatafuta watekaji/watu wasiojulikana?Wanatajana tu.
 
Back
Top Bottom