Mimi nafuata sheria na miongozo ya utendaji wa kazi zanguUNajichanganya, kuinglia na wanasiasa au kulinda maslahi ya taifa kwa kutokuingiliwa. Wewe upo wap mzee?

Kazi yako ni ipi?Mimi nafuata sheria na miongozo ya utendaji wa kazi zangu
Leo ndio world cup inaanza. Saa moja usikuRatiba ya world cup leo ikoje
Ova
Siyo kweli.TISS ni moja ya idara tukufu sana hapa duniani.
Wanafanya kazi kubwa sana ila wanakwamishwa na wanasiasa.
Naelewa majukumu ya TISS kwa sasa yanasimamia pia tathmini ya uwajibikaji wa viongozi, sasa pendekezo ni kwamba iundwe unit itayojulikana hata na wananchi, kama ambavyo leo wanaenda kwa mtendaji au mkuu wa wilaya, basi unit iwe na ofisi, ili mwananchi aweze ifikia. Unit iwe na online presence, kwamba wananchi waweze peleka maoni/malalamiko yao, na yakaweza tatuliwa, kama jambo lipo kwa mkuu wa wilaya, DSO ata deal naye, kama lipo kwa mkuu wa mkoa DSO atadeal nayeNa very active.
Sasa nyumbu wanataka hadi na wazione ndio wajue zipo
Mimi kwa uzoefu wangu nawapa heshima yao ila nakubali wanasiasa wanawatumia vibaya.Siyo kweli.
Hao TISS wana akili ndogo sana na wanafanyia kazi wanasiasa.
Kuna E malalamiko umewahi kuitumia?Naelewa majukumu ya TISS kwa sasa yanasimamia pia tathmini ya uwajibikaji wa viongozi, sasa pendekezo ni kwamba iundwe unit itayojulikana hata na wananchi, kama ambavyo leo wanaenda kwa mtendaji au mkuu wa wilaya, basi unit iwe na ofisi, ili mwananchi aweze ifikia. Unit iwe na online presence, kwamba wananchi waweze peleka maoni/malalamiko yao, na yakaweza tatuliwa, kama jambo lipo kwa mkuu wa wilaya, DSO ata deal naye, kama lipo kwa mkuu wa mkoa DSO atadeal naye
Sijawahi itumia.Kuna E malalamiko umewahi kuitumia?
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera bunge na uratibu pia wana desk la kusikiliza malalamiko ya wananchi, umewahi kutumia hizo platform zote, ukakosa msaada?
Mimi nilipata majibu kupitia hyo mifumo, na wewe jaribu.Sijawahi itumia.
Uzoefu ni upi?Mimi kwa uzoefu wangu nawapa heshima yao ila nakubali wanasiasa wanawatumia vibaya.
SawaUzoefu ni upi?
Hakuna kitu wamewahi kufanikiwa TZ kwajili ya taifa, labda kumuua Chaula.
Washauri na wataalamu wa serikali wanafanya nini maofisini kama mnakuja kinyemela kuomba mawazo kwa msiowalipa?Nashauri Serikali iunde kitengo maalumu cha kutathmini utendaji wa taasisi za umma na kupokea malalamiko pamoja na maoni ya wananchi. Kitengo hiki kiwe na ofisi hadi ngazi ya wilaya na kiwe na mifumo ya kidijitali itakayowawezesha wananchi kuwasilisha kero zao na kufuatilia majibu kwa uwazi.
Kuelekea mwaka 2020, MWAUWASA ilikuwa miongoni mwa mamlaka za maji zilizokuwa zikifanya vizuri zaidi nchini. Mamlaka nyingi kutoka mikoa mbalimbali zilikuwa zinaenda Mwanza kujifunza siri ya mafanikio yao. Ukiingia ofisini kwao ulikutana na mfumo wa kisasa wenye live dashboard ikionyesha takwimu za uzalishaji wa maji, mapato, kiwango cha upotevu wa maji na viashiria vingine muhimu vya utendaji. Ilionekana wazi kuwa ni taasisi iliyokuwa na mwelekeo na usimamizi thabiti.
Mafanikio hayo yalifikia hatua ya aliyekuwa Mkurugenzi wa MWAUWASA kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu/Katibu Mkuu katika Wizara ya Maji, huku baadhi ya viongozi waliokuwa chini yake wakipewa nafasi za kuongoza mamlaka nyingine za maji nchini.
Leo, mwaka 2026, wananchi wengi wanashangazwa na hali ya MWAUWASA. Taasisi iliyokuwa mfano wa kuigwa imekuwa ikikumbwa na malalamiko mengi ya utoaji huduma. Wakati mwingine changamoto za ndani zinaonekana kuhamishiwa lawama kwa taasisi nyingine badala ya kutafutiwa ufumbuzi wa kudumu. Hali hii inazua swali muhimu: ni nani anayefuatilia kwa karibu utendaji wa taasisi hizi kabla hali haijafikia kiwango cha kuathiri wananchi?
Zamani tulisikia kuwa vyombo vya dola na usalama vilikuwa na mifumo ya kupata taarifa kutoka taasisi mbalimbali za umma ili kubaini changamoto mapema. Je, mifumo hiyo bado inafanya kazi kwa ufanisi? Kama inafanya kazi, kwa nini baadhi ya taasisi zinaonekana kudorora kwa muda mrefu bila hatua za mapema kuchukuliwa?
Pia, mfumo wa sasa wa utatuzi wa kero za wananchi unaonekana kuwa na mapungufu. Mara nyingi wananchi husikilizwa zaidi pale kunapokuwa na ziara ya viongozi wakuu, badala ya kuwa na mfumo endelevu wa kupokea, kufuatilia na kutatua changamoto zao kila siku.
Ninaamini kuna umuhimu wa kuanzisha kitengo maalumu cha Tathmini ya Utendaji wa Taasisi za Serikali kitakachokuwa na jukumu la:
• Kupokea na kufuatilia malalamiko ya wananchi.
• Kupima utendaji wa taasisi kwa kutumia viashiria vinavyoeleweka.
• Kubaini mapema taasisi zinazodorora kabla ya matatizo kuwa makubwa.
• Kuwasilisha taarifa za utendaji kwa viongozi wa juu na mamlaka husika.
• Kuhakikisha wananchi wanapata mrejesho wa malalamiko yao kwa wakati.
Taifa lolote lenye malengo ya maendeleo endelevu linahitaji mifumo madhubuti ya uwajibikaji na tathmini ya utendaji. Ni wakati wa kutafakari kama mifumo yetu ya sasa inatosha au kama kuna haja ya kufanya maboresho makubwa zaidi kwa maslahi ya wananchi na maendeleo ya nchi.
Good... sasa Presidential Delivery Bureau imefia wapi?Wakati wa JK kilikuwepo.
Presidential Delivery Bureau
Kikiundwa chote kitatekwaNashauri Serikali iunde kitengo maalumu cha kutathmini utendaji wa taasisi za umma na kupokea malalamiko pamoja na maoni ya wananchi. Kitengo hiki kiwe na ofisi hadi ngazi ya wilaya na kiwe na mifumo ya kidijitali itakayowawezesha wananchi kuwasilisha kero zao na kufuatilia majibu kwa uwazi.
Kuelekea mwaka 2020, MWAUWASA ilikuwa miongoni mwa mamlaka za maji zilizokuwa zikifanya vizuri zaidi nchini. Mamlaka nyingi kutoka mikoa mbalimbali zilikuwa zinaenda Mwanza kujifunza siri ya mafanikio yao. Ukiingia ofisini kwao ulikutana na mfumo wa kisasa wenye live dashboard ikionyesha takwimu za uzalishaji wa maji, mapato, kiwango cha upotevu wa maji na viashiria vingine muhimu vya utendaji. Ilionekana wazi kuwa ni taasisi iliyokuwa na mwelekeo na usimamizi thabiti.
Mafanikio hayo yalifikia hatua ya aliyekuwa Mkurugenzi wa MWAUWASA kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu/Katibu Mkuu katika Wizara ya Maji, huku baadhi ya viongozi waliokuwa chini yake wakipewa nafasi za kuongoza mamlaka nyingine za maji nchini.
Leo, mwaka 2026, wananchi wengi wanashangazwa na hali ya MWAUWASA. Taasisi iliyokuwa mfano wa kuigwa imekuwa ikikumbwa na malalamiko mengi ya utoaji huduma. Wakati mwingine changamoto za ndani zinaonekana kuhamishiwa lawama kwa taasisi nyingine badala ya kutafutiwa ufumbuzi wa kudumu. Hali hii inazua swali muhimu: ni nani anayefuatilia kwa karibu utendaji wa taasisi hizi kabla hali haijafikia kiwango cha kuathiri wananchi?
Zamani tulisikia kuwa vyombo vya dola na usalama vilikuwa na mifumo ya kupata taarifa kutoka taasisi mbalimbali za umma ili kubaini changamoto mapema. Je, mifumo hiyo bado inafanya kazi kwa ufanisi? Kama inafanya kazi, kwa nini baadhi ya taasisi zinaonekana kudorora kwa muda mrefu bila hatua za mapema kuchukuliwa?
Pia, mfumo wa sasa wa utatuzi wa kero za wananchi unaonekana kuwa na mapungufu. Mara nyingi wananchi husikilizwa zaidi pale kunapokuwa na ziara ya viongozi wakuu, badala ya kuwa na mfumo endelevu wa kupokea, kufuatilia na kutatua changamoto zao kila siku.
Ninaamini kuna umuhimu wa kuanzisha kitengo maalumu cha Tathmini ya Utendaji wa Taasisi za Serikali kitakachokuwa na jukumu la:
• Kupokea na kufuatilia malalamiko ya wananchi.
• Kupima utendaji wa taasisi kwa kutumia viashiria vinavyoeleweka.
• Kubaini mapema taasisi zinazodorora kabla ya matatizo kuwa makubwa.
• Kuwasilisha taarifa za utendaji kwa viongozi wa juu na mamlaka husika.
• Kuhakikisha wananchi wanapata mrejesho wa malalamiko yao kwa wakati.
Taifa lolote lenye malengo ya maendeleo endelevu linahitaji mifumo madhubuti ya uwajibikaji na tathmini ya utendaji. Ni wakati wa kutafakari kama mifumo yetu ya sasa inatosha au kama kuna haja ya kufanya maboresho makubwa zaidi kwa maslahi ya wananchi na maendeleo ya nchi.
Ni kweli kwamba JK ni mshauri wa Samia au Samia anashauriwa n.a. Mchengerwa na SimaiWakati wa JK kilikuwepo.
Presidential Delivery Bureau
Ziara hazikwepeki kwa viongozi.Good... sasa Presidential Delivery Bureau imefia wapi?
By now ilibidi iwe mashinani.......
Hatuwezi endelea kwa matatizo kuendelea tatuliwa na ziara za viongpzi.
Kama ni penalti umebutua mkuu,Ni kweli kwamba JK ni mshauri wa Samia au Samia anashauriwa n.a. Mchengerwa na Simai