HOJA Pendekezo: Kiundwe kwa Kitengo Maalumu cha Tathmini ya Utendaji wa Taasisi za Serikali

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ratiba ya world cup leo ikoje

Ova
 
TISS ni moja ya idara tukufu sana hapa duniani.
Wanafanya kazi kubwa sana ila wanakwamishwa na wanasiasa.
Siyo kweli.

Hao TISS wana akili ndogo sana na wanafanyia kazi wanasiasa.
 
Na very active.
Sasa nyumbu wanataka hadi na wazione ndio wajue zipo
Naelewa majukumu ya TISS kwa sasa yanasimamia pia tathmini ya uwajibikaji wa viongozi, sasa pendekezo ni kwamba iundwe unit itayojulikana hata na wananchi, kama ambavyo leo wanaenda kwa mtendaji au mkuu wa wilaya, basi unit iwe na ofisi, ili mwananchi aweze ifikia. Unit iwe na online presence, kwamba wananchi waweze peleka maoni/malalamiko yao, na yakaweza tatuliwa, kama jambo lipo kwa mkuu wa wilaya, DSO ata deal naye, kama lipo kwa mkuu wa mkoa DSO atadeal naye
 
Kuna E malalamiko umewahi kuitumia?
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera bunge na uratibu pia wana desk la kusikiliza malalamiko ya wananchi, umewahi kutumia hizo platform zote, ukakosa msaada?
 
Kuna E malalamiko umewahi kuitumia?
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera bunge na uratibu pia wana desk la kusikiliza malalamiko ya wananchi, umewahi kutumia hizo platform zote, ukakosa msaada?
Sijawahi itumia.
 
Washauri na wataalamu wa serikali wanafanya nini maofisini kama mnakuja kinyemela kuomba mawazo kwa msiowalipa?
NB:Natania tu kwa sababu sina wazo lolote jipya.
 
Wakati wa JK kilikuwepo.

Presidential Delivery Bureau
 
Wakati wa JK kilikuwepo.

Presidential Delivery Bureau
Good... sasa Presidential Delivery Bureau imefia wapi?

By now ilibidi iwe mashinani.......

Hatuwezi endelea kwa matatizo kuendelea tatuliwa na ziara za viongpzi.
 
Kikiundwa chote kitatekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…