HOJA Pendekezo: Kiundwe kwa Kitengo Maalumu cha Tathmini ya Utendaji wa Taasisi za Serikali

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hicho kitengo nacho kitahitaji kitengo kichunguzwe nchi ngumu sana hii
 
Na hicho kitengo nacho si kutakuwa taasisi ya serikali?
 
Kulikuwa na Big Results Now (BRN) wakati wa Kikwete, ila alipokuja Magufuli akakifuta
 
Hicho kitengo kitateuliwa na nani na kwa katiba ipi?
 
Mnazid kutujazia mataasisi mengi yasiozalisha chochote wakati ndio yanaongoza kwa Expenditure 🗑️🚮
 
Kuna kamati ya siasa ya ccm
 
Halafu wakuu wa hicho kitengo wanateuliwa na rais? Katiba mpya katiba mpya inahitajika kwanza kupunguza majukumu yake
 

Big Results Now (BRN) ilikuwepo enzi za Awamu ya JK lakini Kitengo hiki kilishajifia enzi za Awamu ya JPM.

Pole umechelewa...Sasa hivi tuna NATIONAL PLANNING COMMISSION chini ya Prof. Kitila Mkumbo ndiyo wanafanya haya yote uliyoandika.

Pole umechelewa kujua
 
NPC haina majukumu hayo.
 
NPC haina majukumu hayo.

Sawa. Wenye majukumu hayo kwa sasa ni Ofisi ya Waziri Mkuu, Uratibu na Bunge, chini ya Kurugenzi ya Ufuatiliaji na Tathmini. (M&E). Ndiyo wanahusika na Monitoring and Evaluation ya kazi zote za Serikali na Taasisi za Umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…