Pendekezo: Kuwe na Daladala VIP kukabiliana na foleni

Wazo zuri sana, mtu akilipolish vizuri anapata kitu.
 
Bonge la idea!
 
Abiria wapo ila hawapo tayari kupanda daladala ya buku 3 ikiwa wana uwezo wa kuweka mafuta ya laki kila baada ya siku 4!
Ndo mi nilkuwa najiuliza yani mbongo amiliki Gari afu apande daladala kweli.yani atoke ofisini atembee kwa mguu hadi kituo cha hizo daladala,vigari vingi baby walker yani unywaji wake Wa mafuta ni sawa na mtoto anavyokuwa ananyonya ile chupa ya maziwa mdomdo.
 
Ingekuwa ulaya sawa ila mmbongo ananunua gari kama status symbol kuwa anazo hela halafu apaki apande daladalaπŸ˜‚??? Hio itakuwa ngumu kidogo...
 
Ingekuwa ulaya sawa ila mmbongo ananunua gari kama status symbol kuwa anazo hela halafu apaki apande daladalaπŸ˜‚??? Hio itakuwa ngumu kidogo...
Ni ngumu hata Mimi sikubali.
Labda mleta mada angewalenga haohao wapanda dala humihumo kuna VIP s ambao hawamiliki magari ila wana uwezo kipesa.

Mwisho Wa siku vyombo vya usafiri vinaingiza kipato kikubwa katika uchumi kuliko hata vinywaji vikali,kuanzia uagizaji,usajili,bima,mafuta.

Alafu nyie mlioko huko dasarama mbona tunaskia Mfugale alimaliza mambo ya foleni.
 
Kuliko kujenga daraja kutoka masaki hadi mjini, wajenge reli za treni la juu kuunganisha viunga vyote vya hilo jiji kuondosha msongamano barabarani
 
Kuna watu wanaenda Maofisini kwa uba kila siku kwa zaidi ya shilingi 10,000 kwa siku.

Sasa inakuaje mtu ashindwe shilingi 6,000 kwa siku.
Thank you
Nakumbuka zamani nilikuwa natumia Bajaji tu unakuta elf 15 hadi 20 daily
Wkt gari wese hapo la elf 8 tu same route
 
Wazo zuri sana.
 
Baada ya UKAWA kushinda nakushika halmashauri zote jiji LA dar esalam walikuja na mpango kabambe wakuibomoa dar nakujenga upya.

Fedha zakujenga upya dar ulikua nimkopo toka ujerumani wakati mkopo ule umeiva magufuli na ccm yake walivosikia mpango huo njia aliyoiona magufuli na ccm nikupokonya uhalali wa ukusanyaji kodi ngazi ya halmashauri...jiji likakosa sifa kupata mkopo kwani wangelipaje deni hilo akati hawana mapato.


Hii ndoccm na uongozi wake.....bana
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…