Na kutuaminisha kuwa hayo yaliyofanywa na serkali hii ni makubwa utazani nchi hii hakuna kilichokua kimefanywa awali huo nao ni ujinga tena wa kiwango cha YULE YESU WENU WA CHATO(BURIGI)Kushabikia upinzani huu wa kina Lisu na kina Mbowe na vijana wao ni aina ya ujinga mkubwa,maana wananchi tunaona serikali ya sasa inafanya nini..kuna nyakati nyingi sana waTanzania wanapoteza muda tu kuwasikiliza na kuwashabikia wasanii wa kisiasa
Kushabikia upinzani huu wa kina Lisu na kina Mbowe na vijana wao ni aina ya ujinga mkubwa,maana wananchi tunaona serikali ya sasa inafanya nini..kuna nyakati nyingi sana waTanzania wanapoteza muda tu kuwasikiliza na kuwashabikia wasanii wa kisiasa
Siku mkijenga hoja ya "Maendeleo ya Watu" ni nini na "Maendeleo ya Vitu" ni nini nikaelewa, nitawafuata.
Kilifanywa na Chama gani!Na kutuaminisha kuwa hayo yaliyofanywa na serkali hii ni makubwa utazani nchi hii hakuna kilichokua kimefanywa awali huo nao ni ujinga tena wa kiwango cha YULE YESU WENU WA CHATO(BURIGI)
Tunahofia wakiingia madarakani watabadili katiba ili kuruhusu USHOGA!.......... Kwani wakiingia madarakani wapinzani, watavunja hicho kinachofanywa na serikali ya sasa?
Kwa maudhui kumbe tayali unatambua kua serikali inafanya,basi na unyamaze maana pia serikali hiyo hiyo haiwezi kufanya kulinga na kila tamanio la mtu mmoja mmoja kama afikiriavyo yeye.Serikali ifanyacho sio hisani bali ni wajibu wa serikali yoyote, hata serikali ya wakoloni ilifanya miradi ya maendeleo, kwani ni wajibu wa mkusanya kodi. Kwani wakiingia madarakani wapinzani, watavunja hicho kinachofanywa na serikali ya sasa?
Hatuwezi kumsikiliza MPUMBAVUWatakuwa wamekusikia.
Tunahofia wakiingia madarakani watabadili katiba ili kuruhusu USHOGA!
Kwa maudhui kumbe tayali unatambua kua serikali inafanya,basi na unyamaze maana pia serikali hiyo hiyo haiwezi kufanya kulinga na kila tamanio la mtu mmoja mmoja kama afikiriavyo yeye. MUNGU mwenyewe anajua kila kitu kuhusu sisi na anatulinda lakini utakuta wako wanaomlaumu na kutokukubali uwepo wake,leo serikali?
Kushabikia upinzani huu wa kina Lisu na kina Mbowe na vijana wao ni aina ya ujinga mkubwa,maana wananchi tunaona serikali ya sasa inafanya nini..kuna nyakati nyingi sana waTanzania wanapoteza muda tu kuwasikiliza na kuwashabikia wasanii wa kisiasa
Mkuu wako chini ya katiba ya CHADEMA!Kwani hawa mashoga waliopo hivi sasa hapa nchini, wako chini ya katiba gani?