Mbona hata hao Pdidy na Jay z video za nyimbo zao hazina maadili kabisa afadhali za mondi unakuta wasichana wanalambana ulimi.Ninaropkwa mimi wakati wewe unakaa na wazazi wako unaangalia muziki ya kinaDiamond ukionesha wna pombe mikononi na dada zetu waliovaa chupi na sigiria tu na bado unataka serkali impe diplomatic PP. wangepewa Akina JZ na Diddy kwanza kwao huko. Akiwa na.diplomatic PP akienda South hata kama atakamatwa na aunga basi hawezi kushtakiwa mpaka serikali ya TZ ikubali. Kuishauri serikali impe Diamond diplomatic PP ni sawa na wewe kusema kwamba ukikutana nae.Airport Chin na akikupa begi lake umbebee mpaka mupite Customs basi utambebea!