Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumfananisha samata,Hashim ns Simba ni kumkosea heshma mondi,Bongo fleva haijafika mbali ila dogo anakomaa kuitangaza,lugha yakiswahili bado sana ila ni mondi ndio kinara wakuitangaza.Sasa hao unaomfananisha nao wametangaza nini?Mzee naona unazeeka kwa kasi. Unajua vigezo vya hiyo Diplomatic Passport? Sio njugu zile kwamba kila mtu anaweza pewa.
Unafikiri kwa nini Samata, Hashim Thabit, n.k hawajapewa hiyo pasi?
Unforgetable
Mazee anatangaza Tanzania wapi? Are you kidding me? Huko Kisangani Kongo ndiyo hawaijui Tanzania mpaka wakatangaziwe? Kwa taarifa yako ile bendi ya mchiriku ya Jagwa imepiga sehemu zinazoeleka nje ya nchi kuliko huyu!Ila ndio anatangaza taifa kuliko boya yeyote unayemuheshimu wenyewe wanamuitaga Tanzanian artist
Kama wewe uko tayari kuwakilishwa na mzinifu sawa, mimi simo!Afrika ndio ishamkubali na dunia ya muziki inatambua uwepo wake we endelea kukaza tu tukatae au tukubali that kid is representing us kuliko mtu yeyote tumpe support tu
Kuna waheshimiwa wazinifu kuliko diamond lakin wana diplomatic passportKama wewe uko tayari kuwakilishwa na mzinifu sawa, mimi simo!
Wamepewa hizp PP kwa.kujitangazia uzinifu?Kuna waheshimiwa wazinifu kuliko diamond lakin wana diplomatic passport
Apewe diplomatic pass abebe mangada yakeHuyo jamaaa tumwacheni Tu anawa-outclass watu vibaya mno , naishaur serikali impe support kimya kimya mana wakifanya public kuna watu Wana roho mbaya Sana watamharibia kijana wa watu , hasa clouds na genge lao
nyie wanawake mna shida Nani kakuambia ni diamond pekee ana kula wanawake Sana, ni asilimia kubwa ya wanaume wapo hivyo hata bwana wako before hajakupata kapiga mechi Sana hata mzee magu ujana wake kautumia vizuri.Hail our Dick Ambassador!
Kwahiyo wewe sio mzinifu?Wamepewa hizp PP kwa.kujitangazia uzinifu?
Wewe mmojawapo wa watu masikiniApewe diplomatic pass abebe mangada yake
Siitangazii dunia kama anavoitangazia yeye! Kama wewe unaona yale ndio maisha ya kuishi binadamu mwenye akili zake basi either ni mtoto bado au ni mshamba wa kupindukia!Kwahiyo wewe sio mzinifu?
Wewe umeona wapi amejitangaza kwamba yeye anazini au media ndo zinafanya hivyo?Siitangazii dunia kama anavoitangazia yeye! Kama wewe unaona yale ndio maisha ya kuishi binadamu mwenye akili zake basi either ni mtoto bado au ni mshamba wa kupindukia!
Wewe umeona wapi amejitangaza kwamba yeye anazini au media ndo zinafanya hivyo?
Sema we unapenda kuropoka vitu usivyojua ndomaana ukibanwa kidogo kihoja unashindwa kujitetea.Inaonesha akili zako ni za kumuita dada wa kazi akubadilishe pampers tu! Kwa heri
Rais anaweza kumpa mtu yoyote pasi ya kidiplomasia,kando na wale walioanishwa na kanuniMzee naona unazeeka kwa kasi. Unajua vigezo vya hiyo Diplomatic Passport? Sio njugu zile kwamba kila mtu anaweza pewa.
Unafikiri kwa nini Samata, Hashim Thabit, n.k hawajapewa hiyo pasi?
Unforgetable
Fact [emoji106]Na. M. M. Mwanakijiji
Naomba kupendekeza kuwa huyu kijana apewe rasmi hati ya kusafiria ya Kibalozi (Diplomatic Passport). Nimekuwa nikifuatilia jinsi anavyoshirikiana na wasanii wengine ndani na nje ya nchi lakini pia jinsi gani anakubalika katika sehemu mbalimbali za Afrika. Nimefuatilia kwa karibu ziara yake inayoendelea huko Afrika ya Magharibi.
Ndugu zangu,
1. Hakuna Mtanzania ambaye si mtu wa serikali anayetangaza jina la Tanzania kama Diamond.
2. Kwa ndani ya miaka 10 hivi kijana huyo ameweza kutoka kuwa "the boy from Mbagala" to a "global phenom". Muda si mwingi, kijana huyu ataanza kupasua kwenye majukwaa makubwa ya nchi za Kimagharibi (siyo yale ya ukumbini tu). Kuna watu wenye majina ambao nao watataka kijana huyo awemo..
3. Kwa vile sasa ni mtu wa "kimataifa" Diamond aachane na haya malumbano ya kijiweni na siasa na "wadogo" zake. Ni lazia aanze kujionesha kuwa ni mtu wa namna yake.
Serikali itambue mchango wake - siyo tu katika kutoa ajira lakini pia katika uchumi. Hivyo:
1. Serikali impatie passport ya hadhi ya juu kabisa.
2. Anaposafiri nje ya nchi, Balozi zetu ziwe na taarifa na pale ambapo kuna balozi zetu basi anapoenda ni lazima apokelewe na kukutana na mabalozi wetu.
3. Apewe nafasi ya kubeba jumbe za kibalozi na hata kukutana na viongozi wa serikali huko anakokwenda na kubeba ujumbe kurudisha nyumbani.
4. Kwa jinsi anavyovutia vijana ni wakati makampuni ya Kitanzania (namaanisha hapa ya "Kitanzania" yashirikiane na serikali kumtumia Diamond katika kufungua biashara zao zaidi. Uchumi wa viwanda hauwezi kufanikiwa tukijifungia ndani tu; ni lazima makampuni yetu yaanza kusambaa katika nchi za Kiafrika. Diamond kama jina na mjumbe anaweza sana kushawishi.
5. Ni vizuri kuhakikisha kuwa usalama wake anaposafiri. Hili watu wa serikali na kampuni ya Diamond wanahitaji kukaa chini kuona jinsi gani watahakikisha. Je, mnajua watu kama kina Jay Z, Beyonce, wanaposafiri kwenda nje ya nchi watu kama FBI wanajua na mara nyingi wanahusishwa kuhakikisha usalama wao?
6. Jeshi la Polisi lianzishe kitengo cha Ulinzi wa Watu Maalum (VIP Protection Unit) ambacho ni pembeni ya kile kinacholinda viongozi wa serikali. Kitengo hiki kitakuwa kinatoa ulinzi kwa watu wetu mashuhuri wanaposafiri nje ya nchi .. na kadhalika na kadhalika..
Ni mawazo mengine kem kem...
Ninaropkwa mimi wakati wewe unakaa na wazazi wako unaangalia muziki ya kinaDiamond ukionesha wna pombe mikononi na dada zetu waliovaa chupi na sigiria tu na bado unataka serkali impe diplomatic PP. wangepewa Akina JZ na Diddy kwanza kwao huko. Akiwa na.diplomatic PP akienda South hata kama atakamatwa na aunga basi hawezi kushtakiwa mpaka serikali ya TZ ikubali. Kuishauri serikali impe Diamond diplomatic PP ni sawa na wewe kusema kwamba ukikutana nae.Airport Chin na akikupa begi lake umbebee mpaka mupite Customs basi utambebea!Sema we unapenda kuropoka vitu usivyojua ndomaana ukibanwa kidogo kihoja unashindwa kujitetea.