Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Unaona unavyo jikanyaga sasa ulisema Marekani ni wajinga hadi wameshindwa kuwapa kina MJ, Rihanna n.k nikauliza kwani Rihanna ni mmarekani?Kwa hiyo unadhani Barbados ni wapumbavu sana mpaka wasifikirie kumpa Diplomatic Pass Rihana?
Absolutely tena anawazidi mbaaaaaali angalia viewers za ngoma zake YouTube angalia followers wake IG na angalia matamasha yake duniani hukoEti Katty Perry ni maarufu kuliko MJ, Jay Z, Kanye West?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mwanadamu aliyekuwa na followers wengi Instagram kama huyu sasa hivi kazidiwa na CR7 tu.Eti Selena Gomez ni maarufu kuliko MJ, Jay Z, Kanye West?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani umaarufu wa Selena upo kwa mtoto hadi kwa babu Jay Z kama hawezi kumgusa huyo MJ na Kanye watoto wadogo watawezaje?
Makande ni matope!Elon Musk usimuingize hapa kwani category yake ni tofauti kabisa na tunachokizungumzia.
Makande ni uharo!
Uzi unahusu watu walio nje ya siasa kutangaza Taifa kwa kiwango kikubwa na Tanzania tunae mmoja tu naye ni Simba.
Elon hatangazi USA?
Lazima nikuoseme siwezi ona ujinga unaoufanya nikaumezea mate nikapita never!Kingine acha ushamba, acha kuleta vichambo type ya kike sijui makande na uharo gani na gani, shusha facts ili tuone kweli Mondi anafaa kupewa hiyo kitu ama hafai. Hizo mambo za mduara baki nazo huko huko Mwananyamala na wauswazi wenzio.
Unforgetable
Vichambo havijawahi kuwa na identity kwamba hiki ni cha kike hiki cha kiume sio viatu vile!
.
Uswahili muhimu maana mimi ni mswahili kwa hiyo wewe Mu_Estonia au Muingereza?
Nitajie mwanadamu maarufu zaidi Tanzania kama diamond hata baba wa taifa anaweza kusubiri kwa hakika!