Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Ream=teamNgoja ream Kiba waje wakushambulie mkuu😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ream=teamNgoja ream Kiba waje wakushambulie mkuu😁😁😁
Hivi we jamaa wakati unaandika haya ulikuwa unakula?Mzee naona unazeeka kwa kasi. Unajua vigezo vya hiyo Diplomatic Passport? Sio njugu zile kwamba kila mtu anaweza pewa.
Unafikiri kwa nini Samata, Hashim Thabit, n.k hawajapewa hiyo pasi?
Unforgetable
Ani haka kazee bwana itakua kapo kanaota tu anadhani wanapewa tu kama karangaAsee!Nahisi mimi ndo nazeeka kwa kasi sana!Diamond huyu huyu?Kwa muziki upi?
Ila hadi we Mzee unamkubali hivyo,nahisi kwangu sio uzee tu,huenda hata akili zangu zimevurugwa!
Sijawahi kuburudika vilivyo na Diamond,ninachokiona nyimbo zake zilikuwa zinabebwa sana na clouds kiasi kwamba ukilala Diamond,ukiamka Diamond hadi akili inalazimishwa kuzizoea!
Kwa maoni yako kwangu ni kali ya kufunga mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza mfananisha kwa kigezo kipi kati ya hao uliowataja na Nasib Abdul?Mzee naona unazeeka kwa kasi. Unajua vigezo vya hiyo Diplomatic Passport? Sio njugu zile kwamba kila mtu anaweza pewa.
Unafikiri kwa nini Samata, Hashim Thabit, n.k hawajapewa hiyo pasi?
Unforgetable
Utaona kuwa sijasema miye ni shabiki wa muziki wake; as a matter of fact; muziki wake mwingi ni copy and paste au ni ule ule unazungushwa na maneno tofauti tu.. angekuwa na bendi yake inayopiga muziki ndio level yake ingezidi kuwa tofautiAsee!Nahisi mimi ndo nazeeka kwa kasi sana!Diamond huyu huyu?Kwa muziki upi?
Ila hadi we Mzee unamkubali hivyo,nahisi kwangu sio uzee tu,huenda hata akili zangu zimevurugwa!
Sijawahi kuburudika vilivyo na Diamond,ninachokiona nyimbo zake zilikuwa zinabebwa sana na clouds kiasi kwamba ukilala Diamond,ukiamka Diamond hadi akili inalazimishwa kuzizoea!
Kwa maoni yako kwangu ni kali ya kufunga mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshasoma masharti ya nani anaweza kupewa pasi ya kibalozi? usidhani nimekurupuka tu.. ndio tatizo la stori za vijiweni hizo.Ani haka kazee bwana itakua kapo kanaota tu anadhani wanapewa tu kama karanga
Angekuwa anapiga muziki na kuutangaza wa kitanzania ningeunga mkono. Muziki anaopiga ni wa kuungaunga kutoka vyanzo mbali mbali. Tuna mambo muhimu ya kufanya na si huu ujinga. Hizo diplomatic passport wapewe watu wenye kufanya vitu vya maana na siyo zitolewe kama pipi.Hebu waelezeeni Watoto historian za wakina John Stephen akhwari Acheni kuwashobokeaa wakata viuno mziki yao inhamasisha ushg tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania; A Failed State.
Ndege mnaandika HAPA KAZI TU.
WAKENYA wanaandika NGORONGORO CRATER/ MOUNT KILIMANJARO.
Halafu mnakuja na ujinga usiokuwa na maana yoyote.