Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa!Angekuwa anapiga muziki na kuutangaza wa kitanzania ningeunga mkono. Muziki anaopiga ni wa kuungaunga kutoka vyanzo mbali mbali. Tuna mambo muhimu ya kufanya na si huu ujinga. Hizo diplomatic passport wapewe watu wenye kufanya vitu vya maana na siyo zitolewe kama pipi.
Kweli kabisa!
Tunapenda ku entertain ujingaujinga
Itatokea siku sanchy naye watasema apewe hyo vip pport
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaaa tumwacheni Tu anawa-outclass watu vibaya mno , naishaur serikali impe support kimya kimya mana wakifanya public kuna watu Wana roho mbaya Sana watamharibia kijana wa watu , hasa clouds na genge lao
Siyo Afrika tu; hapa siku hizi unakutana na wa West Afrika.. ukisema Diamond.. wanajua kabisa ni nani..Kuna nchi Africa watu ukiwaambia unatoka Tanzania lazima waongezee anakotoka Diamond? Unaweza kuopoa hadi mrembo kisa unatokea nchi ya Diamond [emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
kama umesoma vizuri kisha umekuja na haya mapendekezo basi naamini umeamua kufanya utani tu na kuchangamsha jukwaa.Umeshasoma masharti ya nani anaweza kupewa pasi ya kibalozi? usidhani nimekurupuka tu.. ndio tatizo la stori za vijiweni hizo.
Mzee naona unazeeka kwa kasi. Unajua vigezo vya hiyo Diplomatic Passport? Sio njugu zile kwamba kila mtu anaweza pewa.
Unafikiri kwa nini Samata, Hashim Thabit, n.k hawajapewa hiyo pasi?
Unforgetable
Hebu waelezeeni Watoto historian za wakina John Stephen akhwari Acheni kuwashobokeaa wakata viuno mziki yao inhamasisha ushg tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umekula mlenda ulochacha au , hopless kabisa ani ila naheshimu mawazo yako finyu
Asee!Nahisi mimi ndo nazeeka kwa kasi sana!Diamond huyu huyu?Kwa muziki upi?
Ila hadi we Mzee unamkubali hivyo,nahisi kwangu sio uzee tu,huenda hata akili zangu zimevurugwa!
Sijawahi kuburudika vilivyo na Diamond,ninachokiona nyimbo zake zilikuwa zinabebwa sana na clouds kiasi kwamba ukilala Diamond,ukiamka Diamond hadi akili inalazimishwa kuzizoea!
Kwa maoni yako kwangu ni kali ya kufunga mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ani haka kazee bwana itakua kapo kanaota tu anadhani wanapewa tu kama karanga
Unazijua jumbe za kibalozi? Unajua hizo jumbe utaratibu wake? Unaijua vizuri Diplomatic Pass mzee? Labda apewe tu ubalozi wa utalii... Dip Pass sio kitu simple kama unavyohisi! Zile sio njugu Mkuu
Toka kwenye serious topics zinazogusa maslahi ya uma mpaka huu upuuzi,.. Mzee mwanakijiji ni [emoji706][emoji706][emoji706].
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Mlinga anaanza kupata sapoti kwa mawazo yake japo wengi walimdhihaki.
Mimi mwenyewe naunga mkono Taifa inabidi limfanyie kitu Diamond.
Mzee Mwanakijiji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa!
Tunapenda ku entertain ujingaujinga
Itatokea siku sanchy naye watasema apewe hyo vip pport
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira umetushinda, Michezo yote imetushinda mziki wetu pia ulikuwa na vipaji kibao uko nyuma ila tulishindwa ila Diamond kaonyesha uthubutu mkubwa nakuunga mkono mziki unaweza zaidi kututangaza kuliko kitu chochote kwa sasa.
kuna kipindi nilikuwa south nilikutana na jamaa mmoja baada ya kujitambulisha natoka tz alinambia kule anakotoka Diamond na Nyerere? nikamjibu ndio kuna jambo nilijifunza.
Hiyo post uliyo ni quote inahusiana ujumbe wako.?Daah wakuu mna roho za korosho Sana, au Kwa sababu ni mwanamziki hajapitia vidato,? nyie na elimu zenu mmefanya kipi kuitangaza tz zaidi ya kulalamikia uonhozi wa Maghufuli, huko mliko Tanzania inajulikana vip kulingana na uwepo wenu??
Diamond Kwa kidog alicho nacho pamoja na kuwa mnamshutumu anahamasisha ushoga na kuimba matusi ameifanya hii nchi ijulikane Sana tuu , hata kwenye pato la taifa ni mmoja wa watu wanaofanya vizur Sana na huenda wote mnaomshutumu hapa anawakimbiza Kwa kuingiza mapato TRA,
Acheni hzo roho Bana...!! Keshokutwa mwanamziki P-didy toka USA anaenda kupewa tuzo kubwa Tu ya heshima Kwa mambo aliyofanya , kwetu huku mtu akifanya vizur kisa hajasoma Physics na paper economy bas hafai....
Labda kama Hana sifa lakn kama anayo the guy deserve it
Ali kina ndio anafaa kuwa na passport diplomatic na sio diamond kwa sababu Ali kina Ana record nzuri na sio mtu was a media za kiki
Unaona sasa...Huyu Diamond ukifika Lubumbashi, Likasi, kolwezi ni mpk kero ,redio zote vibanda vyote ni muziki wake tu
Na vijana wanamuiga hadi mavazi na hair style
MTC | 101| [emoji769]
Tanzania; A Failed State.
Ndege mnaandika HAPA KAZI TU.
WAKENYA wanaandika NGORONGORO CRATER/ MOUNT KILIMANJARO.
Halafu mnakuja na ujinga usiokuwa na maana yoyote.
Mzee mwenzangu huyu kijana Lubumbashi ,kaiteka vilivyo ,huwa najivuniaga nikiona na sisi wa tz sasa wa Congo wanacheza na kuimba nyimbo za kijana wetuUnaona sasa...