Pendekezo la Kuundwa kwa Tume Huru ya Kuchunguza Mwenendo wa Polisi Tanzania

Wakuu, Nawasalimu,

Kwa heshima na taadhima, napenda kutoa wito kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Tume Huru ya Kuchunguza Mwenendo wa Jeshi la Polisi, yenye dhamira ya kuhakikisha kuwa utendaji wa jeshi hilo unazingatia haki za binadamu, uwajibikaji, na matumizi ya madaraka kwa mujibu wa sheria.

Tume hii itakuwa na majukumu ya:
  1. Kufuatilia na kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na nguvu kupita kiasi.
  2. Kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu vitendo visivyofaa vinavyofanywa na askari.
  3. Kuwasilisha mapendekezo ya maboresho ya maadili na uwajibikaji katika utendaji wa polisi.
  4. Kusaidia kujenga imani kati ya wananchi na Jeshi la Polisi, kwa kuweka uwazi na uadilifu mbele.
Kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazojitokeza mara kwa mara, kama vile tuhuma za ukatili, vitisho, na kutotendewa haki kwa baadhi ya wananchi, tume hii itakuwa chombo muhimu cha kuhakikisha kuwa wahusika wote wanawajibika bila upendeleo.

Ninaamini kuwa kwa kuwepo kwa chombo huru, Serikali itaimarisha zaidi misingi ya utawala bora, haki za binadamu, na amani nchini.

Naomba kuwasilisha;
cc; Bashungwa, na Waziri Gwajima.
Expecting results from what you know

Kutegemea matokeo chanya kwenye mfumo kandamizi ulioutengeneza mwenyewe nisawa na kutaka vitu vinono, (pisi Kali), ukijua kwamba huna pesa
 
Wakuu, Nawasalimu,

Kwa heshima na taadhima, napenda kutoa wito kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Tume Huru ya Kuchunguza Mwenendo wa Jeshi la Polisi, yenye dhamira ya kuhakikisha kuwa utendaji wa jeshi hilo unazingatia haki za binadamu, uwajibikaji, na matumizi ya madaraka kwa mujibu wa sheria.

Tume hii itakuwa na majukumu ya:
  1. Kufuatilia na kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na nguvu kupita kiasi.
  2. Kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu vitendo visivyofaa vinavyofanywa na askari.
  3. Kuwasilisha mapendekezo ya maboresho ya maadili na uwajibikaji katika utendaji wa polisi.
  4. Kusaidia kujenga imani kati ya wananchi na Jeshi la Polisi, kwa kuweka uwazi na uadilifu mbele.
Kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazojitokeza mara kwa mara, kama vile tuhuma za ukatili, vitisho, na kutotendewa haki kwa baadhi ya wananchi, tume hii itakuwa chombo muhimu cha kuhakikisha kuwa wahusika wote wanawajibika bila upendeleo.

Ninaamini kuwa kwa kuwepo kwa chombo huru, Serikali itaimarisha zaidi misingi ya utawala bora, haki za binadamu, na amani nchini.

Naomba kuwasilisha;
cc; Bashungwa, na Waziri Gwajima.
Ninaamini kuwa kwa kuwepo kwa chombo huru, Serikali itaimarisha zaidi misingi ya utawala bora, haki za binadamu, na amani nchini.
 
Kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazojitokeza mara kwa mara, kama vile tuhuma za ukatili, vitisho, na kutotendewa haki kwa baadhi ya wananchi, tume hii itakuwa chombo muhimu cha kuhakikisha kuwa wahusika wote wanawajibika bila upendeleo.
Ndugu yangu, hio tume itaundwaje? CCM ndio wanufaika wakubwa wa hizo changamoto, hakuna kitu cha maana wanaweza kufanya, hawa jamaa wanahitaji kitu cha tofuati kifanyike
 
Ninaamini kuwa kwa kuwepo kwa chombo huru, Serikali itaimarisha zaidi misingi ya utawala bora, haki za binadamu, na amani nchini.
Kabisa, ndio mwanzo mzuri wa kila kitu kuwa sawa.
Kuanzia uchaguzi wa Haki
 
Ikiwa Tume Huru ya Uchaguzi kindende itakuja kuwa Tume Huru ya Polisi, si tashangaa wakakusikilizeni na kukuiunda.
Polisi wakidhibitiwa hata hiyo tume ya uchaguzi iliyopo inaweza kufaa japo kwa 60%
 
Kenya wana kitu kinitwa INDEPENDENT POLICE OVERSIGHT AUTHORITY..........................
Na kwa kiasi kikubwa inapunguza level ya kuoneana sana.

Hiyo tume kwasasa ina cases karibia 60 za Police na impact yake inaonekana sana
 
Wakuu, Nawasalimu,

Kwa heshima na taadhima, napenda kutoa wito kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Tume Huru ya Kuchunguza Mwenendo wa Jeshi la Polisi, yenye dhamira ya kuhakikisha kuwa utendaji wa jeshi hilo unazingatia haki za binadamu, uwajibikaji, na matumizi ya madaraka kwa mujibu wa sheria.

Tume hii itakuwa na majukumu ya:
  1. Kufuatilia na kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na nguvu kupita kiasi.
  2. Kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu vitendo visivyofaa vinavyofanywa na askari.
  3. Kuwasilisha mapendekezo ya maboresho ya maadili na uwajibikaji katika utendaji wa polisi.
  4. Kusaidia kujenga imani kati ya wananchi na Jeshi la Polisi, kwa kuweka uwazi na uadilifu mbele.
Kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazojitokeza mara kwa mara, kama vile tuhuma za ukatili, vitisho, na kutotendewa haki kwa baadhi ya wananchi, tume hii itakuwa chombo muhimu cha kuhakikisha kuwa wahusika wote wanawajibika bila upendeleo.

Ninaamini kuwa kwa kuwepo kwa chombo huru, Serikali itaimarisha zaidi misingi ya utawala bora, haki za binadamu, na amani nchini.

Naomba kuwasilisha;
cc; Bashungwa, na Waziri Gwajima.
Ilisha undwa ile ya IGP wa zamani simkumbuki jina na alitoa Repoti kwa Rais.

Mpaka leo kimyaaaaa
 
Wanaopaswa kuiunda hiyo tume ndio wanasifia kila siku lina weledi na kwamba limefikia viwango wanavyotaka kwa maslahi yao! Katiba mpya itafumua haya maincompentence sehemu zote maana nchi imeoza kuanzia kichwani so kukata mkono hakutatibu hii kansa mkuu! Mawazo yangu...
Kazi tunayo aisee, nafikiria this kind of torturing watu wanayofanyiwa itaishia lini na wapi.
 
Ninaamini kuwa kwa kuwepo kwa chombo huru, Serikali itaimarisha zaidi misingi ya utawala bora, haki za binadamu, na amani nchini.
1745934309810.png
 
Back
Top Bottom