Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Colina Pierluigi moja ya marefa Bora katika Historia ya soka na Mwenyekiti wa marefa wote toka shirikisho la mpira duniani FIFA.
Amenukuliwa akitoa pendekezo kuhusu upigaji mpya wa penati zitakazo patikana ndani ya dakika za mchezo kuwa Kama zile za Matuta Yani unapiga Mara moja ukikosa au kuchezwa na kipa imeisha hiyo.
Wewe Kama mdau na mpenda maendeleo ya soka unakubali mapendekezo haya ?