Pendekezo la Sheria Mpya upigaji Penati

Pendekezo la Sheria Mpya upigaji Penati

Mm nazani au napendekeza kama ndani ya dakika 90 za mchezo kwa Kila team Kuna penalty taker basi hata baada ya dakika kama tunaingia kwenye penalty napendekeza kama tunapiga penalty kumi na Nina mpigaji wangu mzuri naomba zote apige yeye coz kama ndani ya dakika 90 mliweza kuniruhusu huyu apige basi hata huku apige huyu huyu ndio tunamuamini
 
Back
Top Bottom