Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Kwani sasa si hivyohivyo au kuna kurudia kupiga tena ukikosaunapiga Mara moja ukikosa imeisha hiyo.
Na ndivyo ilivyo, labda huyu mleta uzi kashindwa kufafanua vyema. Pengine inamaanishwa kuwa kipa akiucheza kwa kuutema mpira haipaswi kuingilia tena mpiraKwani sasa si hivyohivyo au kuna kurudia kupiga tena ukikosa
Kwa sasa ukikosa mfano keeper akapangua mpira ukarudi kiwanjani wachezaji wanaruhusiwa kuuchezaKwani sasa si hivyohivyo au kuna kurudia kupiga tena ukikosa
Ukikosa na mpira ukarudi ndani unapiga tena na wachezaji wengine ni kushambulia mpaka utoke, uokolewe au goli lifungweKwani sasa si hivyohivyo au kuna kurudia kupiga tena ukikosa
MaybeNa ndivyo ilivyo, labda huyu mleta uzi kashindwa kufafanua vyema. Pengine inamaanishwa kuwa kipa akiucheza kwa kuutema mpira haipaswi kuingilia tena mpira
OkKwa sasa ukikosa mfano keeper akapangua mpira ukarudi kiwanjani wachezaji wanaruhusiwa kuucheza
Zamani si ndio ilikuwa hivyo..?Kwa sasa ukikosa mfano keeper akapangua mpira ukarudi kiwanjani wachezaji wanaruhusiwa kuucheza
Eeh!!!Zamani si ndio ilikuwa hivyo..?
anataka turudi tulikotoka?
kuna Ile kipa anaweza shindwa shika na kutemea ndani au ikagonga mwamba ikarudi uwanjani ruhusa kurudiaKwani sasa si hivyohivyo au kuna kurudia kupiga tena ukikosa
Okkuna Ile kipa anaweza shindwa shika na kutemea ndani au ikagonga mwamba ikarudi uwanjani ruhusa kurudia
Ila warudiaji sio wewe uliyepiga mara yakwanza ...wachezaji wengine kwenye timu yako
urudiaji wake haitengwi linabadilika shambulizi na beki wanawajibu wakuokoa ndani ya dakika 90 wakati nje ya dakika tusin ikitemwa au ikila besela ....imekufa
Naam.Na ndivyo ilivyo, labda huyu mleta uzi kashindwa kufafanua vyema. Pengine inamaanishwa kuwa kipa akiucheza kwa kuutema mpira haipaswi kuingilia tena mpira
Sawaurudiaji wake haitengwi linabadilika shambulizi na beki wanawajibu wakuokoa ndani ya dakika 90 wakati nje ya dakika tusin ikitemwa au ikila besela ....imekufa