peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika.
Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza kozi ya Uwakili kwa wakati mmoja.
Pia LST ni shule moja tu nchini imekuwa na ukiritimba mkubwa na kuzalisha vilaza wa kuchukua fedha mitaani wananchi wakiamini kuwa ni Mawakili kumbe wametumia rushwa.