peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
IkiwapendezaNa wale wa uhasibu nao CPA ifundishwe mwaka wa mwisho wa kozi zao?
SS hapa kila kitu tumechukua kwa wazungu nchi gani inatumia huu mfumo uliousemaKwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika.
Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza kozi ya Uwakili kwa wakati mmoja.
Pia LST ni shule moja tu nchini imekuwa na ukiritimba mkubwa na kuzalisha vilaza wa kuchukua fedha mitaani wananchi wakiamini kuwa ni Mawakili kumbe wametumia rushwa.
Mkuu, kwa hiyo mtu akiwa anasoma ndio hatakiwi kufuatilia mambo mengine? Duuuh hii hatari sasa kaka mkubwa.Kilaza huna hoja.
Wanafunzi siku hiI kazi kushinda Instagram story zao wema sepetu na diamond pamoja na kubet.
Tumepita huko tukatoka first Sitting, pumbavu kabisa.
Chuo gani kinafundisha 3 years?Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika.
Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza kozi ya Uwakili kwa wakati mmoja.
Pia LST ni shule moja tu nchini imekuwa na ukiritimba mkubwa na kuzalisha vilaza wa kuchukua fedha mitaani wananchi wakiamini kuwa ni Mawakili kumbe wametumia rushwa.
Unaweza kuthibitisha kwamba kuna utumiaji wa rushwa ili graduate aweze kufaulu?Pia LST ni shule moja tu nchini imekuwa na ukiritimba mkubwa na kuzalisha vilaza wa kuchukua fedha mitaani wananchi wakiamini kuwa ni Mawakili kumbe wametumia rushwa.