Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Arusha na ukanda wa juu wa Kilimanjaro HAKUNA Mtu anayepatia Malaria huko labda Mtu atoke nayo Dodoma, Liwale, Mpanda au Dsm aipeleke hukoSawa Kaka, ila wanasema imepungua...hasa Arusha
Kwanza Female Anopheles hawezi kusurvive na kutaga mayai na kuangua kwenye hali ya hewa ya baridi na upepo wa Arusha na Moshi milimani. Pia hakuna maji yanayotuama muda mrefu mpaka yawe ni mahali pa mazaliano ya Mbu