Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi.
Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze.
Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni.
Na uongozi wa Bunge badala ukemee mambo kama haya wanabaki kuwanenea mabaya Mawaziri wacahapa kazi Kama Mwambe kisa tu wameamua kusimamia kile wanachoamini kitaaluma. Mhe. Rais hapa huna NW bali yupo mlevi mmoja