Kukosea Ni kawaida. Na katika ubinadamu, pale angeendelea angechemka zaidi na pengine tusi lingekuja badala ya jina.
Sijaelewa kabisa Pia mtu mzima kama wewe unaanzisha uzi kwa makosa ya kibinadamu kabisa ambalo haliakisi utendaji Wake mana Wewe sio waziri wake. So huwezi jua na hata tufanye ungekuwa unajua hapa sio mahali pake, and so ungemwajibisha au kureport kiutaratibu. KINACHOONEKA hapa Sasa Ni chuki za kitoto na zisizo na tija kwa afya ya ubongo wa JFMembers. Pia inaonekana Wewe Ni mtu mwenye matatizo mengi ndo mana Ni rahisi kupick vitu vidogo vidogo ili kuridhisha nafsi na Self esteem yako dhaifu.
Ushauri Wangu, jaribu kujichunguza na uombe msaada. Unakoelekea unaweza hata kujiuzuru mwenyewe duniani. Na wanaokusupport angalia kama Kuna uzi waliwahi kuandika kujenga mahali walipo. Utaona Ni Wale watu wasiojenga kwao ila wanajitahidi kwa maneno kurekebisha na kupaka rangi nyumba za jirani.
May your day be fruitful.