Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Inafaa awajibishweAlichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni.
Shame of the highest classNaibu Waziri halijui jina la raisi, hii Ni kashfa kubwa
... pamoja na fegi kubwa bila kuchambua mbegu vizuri!Anakunywa k.vant za kupima ndiyo anaingia Bungeni.
Bunge hili lilianza kunuka ushuzi pale Sabufa alipovunja katiba aliyo apa kuilinda na kuwaingiza wale COVID 19 Bungeni wakiongozwa na Mzee halima.Naibu Waziri halijui jina la raisi, hii Ni kashfa kubwa
karma is a b!tch. Watajipukutisha wenyewe either naturally or by force.Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi.
Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze. Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni.
Na uongozi wa Bunge badala ukemee mambo Kama haya wanabaki kuwanenea mabaya Mawaziri wacahapa kazi Kama Mwambe kisa tu wameamua kusimamia kile wanachoamini kitaaluma. Mhe. Rais hapa huna NW bali yupo mlevi mmoja
Wewe ni msemaji wa Waitara bila shaka.Wewe mwenyewe huistail kua mchangiaj humu jamiforums ifike Hatua mods waangalie Nan na Nan wachangie Yan mtu mzima na akil timam unashindwa kuandika Jina badala yake unaandika Jona how
Huyu Magufuli alimuweka kuwakomoa chadema. Ni makubaliano ya uasi kuwa atapewa unaibu waziri akihasi Chadema. Hivyo Samia anaweza akamuondoa maana mwenye biashara Mwendazake hayupo.Tatizo Makubaliano ya biashara ya usaliti