Pendekezo: Mwita Waitara atolewe kwenye Unaibu Waziri

Ni matamshi tu, huyu jamaa ni mkurya hivyo kuna matamshi kwao ni vigumu kutamka.
Ni kweli mywaji lakini sio kwa kiwango cha kusababisha kushindwa majukumu yake.
 
Huyu Magufuli alimuweka kuwakomoa chadema. Ni makubaliano ya uasi kuwa atapewa unaibu waziri akihasi Chadema. Hivyo Samia anaweza akamuondoa maana mwenye biashara Mwendazake hayupo.
Huyu mlevi aondolewe mara moja.
 
Mwambe ni mtu wa hovyo sana. Amshukuru class mate wake Dotto James ambaye alimuunganisha kwa JIWE.
 
Waitara hafai kama ilivyo sura yake
 
Ni aibu kupitiliza NW unashindwa kutamka jina la Rais wako? halafu mkiitwa dhaifu mnakasirika, hyu anatumia kilevi gani?
 
Alivyokua Chadema mlikua mnamuita jembe??

Labda hiyo tabia unayomtuhumu nayo kaianza alipohamia CCM.
 
hivi nikuulize wewe mwenye akilai za kushikiwa kama malaya hivi mtu huwaga anabadirika kutokana na nini? mtu huyohuyo alipokuwa chadema mlimtukuza na kumpa ubunge ukonga hakuwa na kasoro? amewaona nyie ni wahuni kahama chama chenu gafla kabadirika na kuwa mlevi? acheni ujinga nyie mnaweweseka kukosa majimbo
 

Kukosea Ni kawaida. Na katika ubinadamu, pale angeendelea angechemka zaidi na pengine tusi lingekuja badala ya jina.

Sijaelewa kabisa Pia mtu mzima kama wewe unaanzisha uzi kwa makosa ya kibinadamu kabisa ambalo haliakisi utendaji Wake mana Wewe sio waziri wake. So huwezi jua na hata tufanye ungekuwa unajua hapa sio mahali pake, and so ungemwajibisha au kureport kiutaratibu. KINACHOONEKA hapa Sasa Ni chuki za kitoto na zisizo na tija kwa afya ya ubongo wa JFMembers. Pia inaonekana Wewe Ni mtu mwenye matatizo mengi ndo mana Ni rahisi kupick vitu vidogo vidogo ili kuridhisha nafsi na Self esteem yako dhaifu.

Ushauri Wangu, jaribu kujichunguza na uombe msaada. Unakoelekea unaweza hata kujiuzuru mwenyewe duniani. Na wanaokusupport angalia kama Kuna uzi waliwahi kuandika kujenga mahali walipo. Utaona Ni Wale watu wasiojenga kwao ila wanajitahidi kwa maneno kurekebisha na kupaka rangi nyumba za jirani.

May your day be fruitful.
 
🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Atakuwa alishakunywa ile migongo yake kwani akishakunywa huwa anatia hadi kinyaa mbele za watu.
 
Dharau za mawaziri kwa wabunge zinaonekana dhahili. Mimi uwa nawapima unyenyekevu na heshima yao wanapotakiwa kujibu maswali. Sio adabu kwa aliyefundwa kujibu swali wakati bega moja limeshushwa kimadaa na kamkono kamoja kameegemezwa kwenye meza. Chunguzeni vizuri kwa mawaziri wote wanapojibu swali, kuna kadharau Fulani nakaona. Sijawai kuona Raisi yeyote anamtindo huo wa kusimama na kuhutubia jukwaani.
Wamejawa na malingo hawa watuuuu,,,,,
 
... hivi Chadema waliwezaje kuishi na mizigo kama hii? Halafu CCM wakaja kuinunua kwa gharama kubwa; ha ha ha! Siasa kweli ni vichekesho.
 
Kaongeee na anko wako aache uduwanzi sio kuja kumtetea hapa.
 
KAMA TAIFA NI WAKATI MUAFAKA WA KUJADILI NA KUJIPANGA NI NAMNA GANI TUTAMLINDA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN DHIDI YA NJAMA ZA WAFUASI WA MWENDAZAKE AMBAO WENGINE MAMA AMEENDELEA NAO KWENYE UONGOZI.

PIA MJADALA WA AINA HIYI HIYO UWE NI NAMNA GANI TUNAJIPANGA KAMA TAIFA KUMLINDA MAMA YETU SAMIA SULUHU HASSAN DHIDI YA NJAMA ZA BUNGE KUMKWAMISHA RAIS WETU SAMIA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE. MBAYA ZAIDI NJAMA HIZO ZINAONGOZWA NA SPIKA NA WASAIDIZI WAKE.

MAKAMU WA RAIS MWENYEWE HAYUPO PAMOJA NA BOSI WAKE. SOTE TUNAJUA KUWA YEYE NI MFUASI LIALIA WA MWENDAZAKE. NI MIONGONI MWA MAWAZIRI SPECIAL WA MWENDAZAKE, YEYE NA YULE ALIYETOLEWA JALALANI, PROF. MAPOVU MDOMONI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…