Why the reshuffle is done while the A level exams are on progress? Is there anything fishy?Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI,
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Nasikitika NECTA yangu Bara inaenda kufa na kukosa Ile heshima yake iliyojengwa hasa awamu ya 5. DaahHiyo ni demotion
Nchi hii ilibaki elimu afya na jeshi km taasisi zinazohimika ila sasa zinaenda kuharibiwa
Kwamba mkurugenzi ndio alikuwa anadhibiti nchi nzima?Hakika kama mzalendo nimeumia mno kumtoa Dr. Msonde NECTA. Hili ni kosa kama lile walilofanya kwa TPDC. Wasahihushe Hilo kosa arudishwe NECTA kwa kweli. Tutaanza kusikia tena mitihani ya Taifa imebandikwa kwenye miti na vituo vya daladala.
Jicho la tatu,lazima lione Kuna jamboWhy the reshuffle is done while the A level exams are on progress? Is there anything fishy?
Aje kuiua kabisa. Hapana tusimame Imara.Hahahahahahhahaha,
Nasikia Kuna Kombo, Abdul anaandiliwa, yupo tete pemba
Kabisa mkuu.Jicho la tatu,lazima lione Kuna jambo
Taratibu za mtihani zilikuwa secured Sana. Hivyo hata mikoani ilikuwa tight mkuu. Ngoja tuone ila basi tena.Kwamba mkurugenzi ndio alikuwa anadhibiti nchi nzima?
Mimi naona Kama swala la yeye kuamua kusahihisha kwa computer,ili kusave billions of money na kupunguza motisha kuchukua walimu, limemuondoa paleHiyo ni demotion
Nchi hii ilibaki elimu afya na jeshi km taasisi zinazohimika ila sasa zinaenda kuharibiwa
Nimesoma hii comment yako nimecheka sana. Kwahiyo unataka kusema kwa kuwa Msonde alikua mkristo ndio alikua anafelisha shule za waislamu?Wewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...
Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.
Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.
Ndiyo wameanza mitihani Leo halafu wamemtoa. Wonders shall never end. Sisi great thinkers lazima tutafukunua tu ukweli utajulikanaWhy the reshuffle is done while the A level exams are on progress? Is there anything fishy?
Ni hisia zake,Nimesoma hii comment yako nimecheka sana. Kwahiyo unataka kusema kwa kuwa Msonde alikua mkristo ndio alikua anafelisha shule za waislamu?
Duuh namashaka na uwezo wako wa kufikiri..
Acheni kuchanganya mambo ya Dini.. unajidharilisha bure na kama itakuwa ni hivyo kuondolewa kwake ili kudanganya watu katika matokeo. Ni kukuza kizazi mbumbumbu.
Kiongozi ambaye asipokuwepo na taasisi haifanyi kazi kwa weledi hapaswi kuendelea kuwepo.Taratibu za mtihani zilikuwa secured Sana. Hivyo hata mikoani ilikuwa tight mkuu. Ngoja tuone ila basi tena.
Hiyo ndiyo efficiency kabisa Mkuu na alitakiwa apongezwe. Na pesa ingetumika hata kuongeza mishahara kwa waalimu wote maana ni wachache tu wanafaidi hizo posho na mara nyingi ni walewale.Mimi naona Kama swala la yeye kuamua kusahihisha kwa computer,ili kusave billions of money na kupunguza motisha kuchukua walimu, limemuondoa pale
Hili ndiyo kosa. Unawezaje kusahihisha mitihani ya kidato cha 4 kwa computer? Anataka kuifanya kuwa ya kuchagua Kama ile ya darasa la 7??Alikuwa ni mtendaji kweli, na akipanga kuanza, kusahihisha mitihani kwa computer
Ngoja tusubiri. Muda utasema na tutarudi hapa kuanzisha thread!!!Kiongozi ambaye asipokuwepo na taasisi haifanyi kazi kwa weledi hapaswi kuendelea kuwepo.
Ndiyo wameanza mitihani Leo halafu wamemtoa. Wonders shall never end. Sisi great thinkers lazima tutafukunua tu ukweli utajulikana
Hivi nchi za wenzetu wanasahihishaje mitihani? Hiyo ndiyo maendeleo ya technolojia. Muda utasema mkuu. Na hao mafisadi (genge) huwa Yana nguvu na connections Sana na huwa ni michongo ya heavy weights pia. SadHili ndiyo kosa. Unawezaje kusahihisha mitihani ya kidato cha 4 kwa computer? Anataka kuifanya kuwa ya kuchagua Kama ile ya darasa la 7??
Halafu nasikia alikuwa anapingana na genge linalotaka ulaji kwa kuasisi mabadiliko uchwara ya mitaala
Kabisa Mkuu. Na dalili ya Moshi mweupe utasoma upande wa pili. Muda utasema. Tunasubiri teuzi eneo HiloWake wa Mwanakwerekwe wamekuwa wakilalama kwamba wanafelishwa Sana na NECTA. Labda ndiyo sababu