PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI,

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Why the reshuffle is done while the A level exams are on progress? Is there anything fishy?
 
Hiyo ni demotion

Nchi hii ilibaki elimu afya na jeshi km taasisi zinazohimika ila sasa zinaenda kuharibiwa
Mimi naona Kama swala la yeye kuamua kusahihisha kwa computer,ili kusave billions of money na kupunguza motisha kuchukua walimu, limemuondoa pale
 
Wewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...

Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.

Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.
Nimesoma hii comment yako nimecheka sana. Kwahiyo unataka kusema kwa kuwa Msonde alikua mkristo ndio alikua anafelisha shule za waislamu?

Duuh namashaka na uwezo wako wa kufikiri..

Acheni kuchanganya mambo ya Dini.. unajidharilisha bure na kama itakuwa ni hivyo kuondolewa kwake ili kudanganya watu katika matokeo. Ni kukuza kizazi mbumbumbu.
 
Ni hisia zake,

We hujiulizi kwann aondolewe wakati Mitihani ya A level ikiendelea?
 
Mimi naona Kama swala la yeye kuamua kusahihisha kwa computer,ili kusave billions of money na kupunguza motisha kuchukua walimu, limemuondoa pale
Hiyo ndiyo efficiency kabisa Mkuu na alitakiwa apongezwe. Na pesa ingetumika hata kuongeza mishahara kwa waalimu wote maana ni wachache tu wanafaidi hizo posho na mara nyingi ni walewale.
 
Alikuwa ni mtendaji kweli, na akipanga kuanza, kusahihisha mitihani kwa computer
Hili ndiyo kosa. Unawezaje kusahihisha mitihani ya kidato cha 4 kwa computer? Anataka kuifanya kuwa ya kuchagua Kama ile ya darasa la 7??

Halafu nasikia alikuwa anapingana na genge linalotaka ulaji kwa kuasisi mabadiliko uchwara ya mitaala
 
Wake wa Mwanakwerekwe wamekuwa wakilalama kwamba wanafelishwa Sana na NECTA. Labda ndiyo sababu
Ndiyo wameanza mitihani Leo halafu wamemtoa. Wonders shall never end. Sisi great thinkers lazima tutafukunua tu ukweli utajulikana
 
Hili ndiyo kosa. Unawezaje kusahihisha mitihani ya kidato cha 4 kwa computer? Anataka kuifanya kuwa ya kuchagua Kama ile ya darasa la 7??

Halafu nasikia alikuwa anapingana na genge linalotaka ulaji kwa kuasisi mabadiliko uchwara ya mitaala
Hivi nchi za wenzetu wanasahihishaje mitihani? Hiyo ndiyo maendeleo ya technolojia. Muda utasema mkuu. Na hao mafisadi (genge) huwa Yana nguvu na connections Sana na huwa ni michongo ya heavy weights pia. Sad
 
Back
Top Bottom