Mnakuwa wa mwisho kila siku ndiyo mje muongoze taasisi nyeti vile? Msitutawale. Anzisheni ZECTA yenu mtuachie yetu. Mmeamza kutubagua kwenye ardhi inatosha. Ila mkiwa Bara ruksa kumiliki ardhi.Tunamweka mzanzibar sasa zamu yetu
Kwa nini umeona hivyo mkuu? Hebu fatanua point yako.Nadhani wachangiaji wengi kwenye hii thread ni WALIMU!
Mtu anasogea Ikulu wewe unasema promotion in the name of demotion? Kuna nini cha maana kule Necta?Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)
Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Wakati wewe enaendelea kuwa na mashaka na uwezo wangu jinsi ulivyo mdogo, anza pia kutafakari kwa uwezo wako binafsi ambao ni mkubwa kuhusu kuondolewa kwa Msonde halafu njoo na majibu yako hapa tukuelewe.Nimesoma hii comment yako nimecheka sana. Kwahiyo unataka kusema kwa kuwa Msonde alikua mkristo ndio alikua anafelisha shule za waislamu?
Duuh namashaka na uwezo wako wa kufikiri..
Acheni kuchanganya mambo ya Dini.. unajidharilisha bure na kama itakuwa ni hivyo kuondolewa kwake ili kudanganya watu katika matokeo. Ni kukuza kizazi mbumbumbu.
Mama asubiri nini wakati muda uliokuwa unasubiriwa ndio huu?Mama ameshindwa hata kusubiri mitihani ya kidato cha sita iishe au hajui kama kuna mitihani inaendelea, unamtoaje mtu kwenye nafasi wakati katika kitengo chake hicho kuna jambo la msingi linanendea
Mkuu nchi hii ina watu mapopoma Sana,hao utakuta ni graduates 😀😀😀😀Kwamba mkurugenzi ndio alikuwa anadhibiti nchi nzima?
Naibu Katibu mkuu wa wizara anawezaje kusogelea Ikulu?Mtu anasogea Ikulu wewe unasema promotion in the name of demotion? Kuna nini cha maana kule Necta?
Hahahahahaha,Mtu anasogea Ikulu wewe unasema promotion in the name of demotion? Kuna nini cha maana kule Necta?
Full demotion kulinganisha na wapi? Necta au? Kuna nini pale Necta ikiwa mtu anaenda kushughulikia elimu Via Tamisemi Nchi nzima?Naibu Katibu mkuu wa wizara anawezaje kusogelea Ikulu?
Hiyo ni full demotion.
Msonde atastaafu miaka michache.
Yaani nasikitika, mwanangu anaendelea na mitihani, sijui usahihishaji utakuwajeMama asubiri nini wakati muda uliokuwa unasubiriwa ndio huu?
Kuumua kobe kunataka timing ndugu.
Wewe ni mjinga na hujui kitu..Hahahahahaha,
Ikulu, Nani alikuambia Tamisemi IPO Ikulu?
Hili ni tatizo kubwa sanaYaani nasikitika, mwanangu anaendelea na mitihani, sijui usahihishaji utakuwaje
Tusimamije imara?Aje kuiua kabisa. Hapana tusimame Imara.
Yani ,unavyofikiria ni sawa na kuhisi DAB atakuwa Rais 2030 ,Wewe ni mjinga na hujui kitu..
Unapokuwa Naibu Katibu Mkuu ni fursa ya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara na kushiriki kikao cha Baraza la Mawaziri moja kwa moja na hata hapo alipo anaweza muwakilisha Katibu Mkuu kwenye Baraza la Mawaziri Ikulu.
Nani alikwambia kuwa ukiwa naibu katibu mkuu utakuwa na chance za kuja kuwa katibu mkuu? Unadhani ile ni civil servant promotion post?Wewe ni mjinga na hujui kitu..
Unapokuwa Naibu Katibu Mkuu ni fursa ya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara na kushiriki kikao cha Baraza la Mawaziri moja kwa moja na hata hapo alipo anaweza muwakilisha Katibu Mkuu kwenye Baraza la Mawaziri Ikulu.
HahahahaNani alikwambia kuwa ukiwa naibu katibu mkuu utakuwa na chance za kuja kuwa katibu mkuu? Unadhani ile ni civil servant promotion post?
Kama hujui tu, maslahi (mishahara na marupurupu) ya manaibu katibu mkuu nchi nzima yanafanana. Na yako kawaida sana. Na wengi wao wamechakaa tu, hawana mamlaka yoyote kwa sababu post hizo zinawafanya kuwa makarani wa makatibu wakuu.Full demotion kulinganisha na wapi? Necta au? Kuna nini pale Necta ikiwa mtu anaenda kushughulikia elimu Via Tamisemi Nchi nzima?
Ametoka kwenye njaa anaenda kwenye mabilioni