PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

Tunamweka mzanzibar sasa zamu yetu
Mnakuwa wa mwisho kila siku ndiyo mje muongoze taasisi nyeti vile? Msitutawale. Anzisheni ZECTA yenu mtuachie yetu. Mmeamza kutubagua kwenye ardhi inatosha. Ila mkiwa Bara ruksa kumiliki ardhi.
 
Mama ameshindwa hata kusubiri mitihani ya kidato cha sita iishe au hajui kama kuna mitihani inaendelea, unamtoaje mtu kwenye nafasi wakati katika kitengo chake hicho kuna jambo la msingi linanendea
 
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)

Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Mtu anasogea Ikulu wewe unasema promotion in the name of demotion? Kuna nini cha maana kule Necta?
 
Nimesoma hii comment yako nimecheka sana. Kwahiyo unataka kusema kwa kuwa Msonde alikua mkristo ndio alikua anafelisha shule za waislamu?

Duuh namashaka na uwezo wako wa kufikiri..

Acheni kuchanganya mambo ya Dini.. unajidharilisha bure na kama itakuwa ni hivyo kuondolewa kwake ili kudanganya watu katika matokeo. Ni kukuza kizazi mbumbumbu.
Wakati wewe enaendelea kuwa na mashaka na uwezo wangu jinsi ulivyo mdogo, anza pia kutafakari kwa uwezo wako binafsi ambao ni mkubwa kuhusu kuondolewa kwa Msonde halafu njoo na majibu yako hapa tukuelewe.

Lakini fahamu tu, mimi sijataja dini za watu popote, mimi nimekupa hints tu kuwa, zamu hii kwaya hazitaendelea kuimbwa tena ovyo ovyo pale Necta, Kaswida nazo zitaanza taratibu kusikika kwenye kolido za Necta, mfilisti anaingia mzigoni maana mgalatia keshatemwa kimtindo.
 
Mama ameshindwa hata kusubiri mitihani ya kidato cha sita iishe au hajui kama kuna mitihani inaendelea, unamtoaje mtu kwenye nafasi wakati katika kitengo chake hicho kuna jambo la msingi linanendea
Mama asubiri nini wakati muda uliokuwa unasubiriwa ndio huu?
Kuumua kobe kunataka timing ndugu.
 
Hahahahahaha,

Ikulu, Nani alikuambia Tamisemi IPO Ikulu?
Wewe ni mjinga na hujui kitu..

Unapokuwa Naibu Katibu Mkuu ni fursa ya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara na kushiriki kikao cha Baraza la Mawaziri moja kwa moja na hata hapo alipo anaweza muwakilisha Katibu Mkuu kwenye Baraza la Mawaziri Ikulu.
 
Yani ,unavyofikiria ni sawa na kuhisi DAB atakuwa Rais 2030 ,

MKUU, bila kutumia jicho la tatu huwezi kuelewa Mimi,

Cheo Cha MSONDE,NI SAWA KABISA NA BOSI WA TBS, TAKUKURU, N.K

leo Bosi wa TAKUKURU akiteuliwa kuwa naibu katibu mkuu ndio utaona demotion?
 
Wewe ni mjinga na hujui kitu..

Unapokuwa Naibu Katibu Mkuu ni fursa ya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara na kushiriki kikao cha Baraza la Mawaziri moja kwa moja na hata hapo alipo anaweza muwakilisha Katibu Mkuu kwenye Baraza la Mawaziri Ikulu.
Nani alikwambia kuwa ukiwa naibu katibu mkuu utakuwa na chance za kuja kuwa katibu mkuu? Unadhani ile ni civil servant promotion post?
 
Nani alikwambia kuwa ukiwa naibu katibu mkuu utakuwa na chance za kuja kuwa katibu mkuu? Unadhani ile ni civil servant promotion post?
Hahahaha

Ebu mweleze huyo, maana pamoja na kuwa pote JF, anashinda kuelewa Mambo madogo kiasi hicho?
 
Ni wazi kwamba Dr. Msukuma akimrithi Dr. Msonde, ataleta mabadiliko makubwa ktk elimu ya Tanzania, kwasabb atawatunuku PhD vijana wetu wa darasa la saba.

Kwa upande wa mbunge wa Mbogwe yeye ataasisi kisukuma kuwa lugha ya kufundishia na pia kuwa lugha ya kibiashara.

Hakika Tanzania tuna hazina kubwa ya watu wenye ujuzi na ujuvi.
 
Full demotion kulinganisha na wapi? Necta au? Kuna nini pale Necta ikiwa mtu anaenda kushughulikia elimu Via Tamisemi Nchi nzima?

Ametoka kwenye njaa anaenda kwenye mabilioni
Kama hujui tu, maslahi (mishahara na marupurupu) ya manaibu katibu mkuu nchi nzima yanafanana. Na yako kawaida sana. Na wengi wao wamechakaa tu, hawana mamlaka yoyote kwa sababu post hizo zinawafanya kuwa makarani wa makatibu wakuu.

Lakini Katibu mkuu wa Necta ni mtu mmoja tu, ni post moja tu, mshahara wake na marupurupu yake ni special package, ni mtu mwenye mamlaka katika taasisi anayoisimamia. Huyo anaweza akapiga hata 10% ya tender ya uchapishaji wa mitihani ya taifa, maana yeye ndio mwenye kuidhinisha tender nk.
 
Back
Top Bottom