PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

Wewe ndo utuambie huu ujuaji wako u akusaidia nini? Mwenye diploma akisimamia mtihani anakuwa na tatizo gani au unaposimamia na wewe unafanya mtihani. Wasiamizi wote wanapewa semina na wanatakiwa kurely kwenye maelekezo ya semina, kama digrii ndo kigezo cha kuwa msimamizi mkuu tueleze kanuni hiyo imeandikwa wapi?
 

atakaye mridhi Msonde NECTA atatokea Visiwani.​

Ile mitihani ya multiple choice ya NECTA unasikia mtu kidato cha sita PCM kapata point 3 sasa huko Tamisemi atakwenda kukutana na hao vijana wakiwa wamebeba bahasha mikononi wakitafuta kazi.​

 
Usiwe mbishi
 
Mitihani ni kazi endelevu necta kwahyo kumtoa wakati mihitani inaendelea ni sawa tu maana hakuna muda necta wanaacha kufanya kazi za mitihani
 
Wewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...

Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.

Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.
huwa mnanifurahisha sana mnapenda wanyama wa kuchinjwa lakini maisha mnapenda ya kunyongwa na kubebwabebwa tu akiwekwa mtu smart mnapiga kelele haya karibuni kwenye wizi wa mitihani na majibu ya upendeleo
 
Hii sio point, msimamizi hafanyi mtihani. Hapo ni sawa na kusema hata Raisi anapaswa awe professor ili aweze kusimamia waliomzidi elimu.
 
Huyo ana amini hata Raisi anapaswa awe professor ili kusiwe na waliomzidi elimu.
 
Rudi shule ukasome usiwe na hasira
 
Blogger boooy
 
Wamiliki wa shule binafsi wanachekelea,muda wa mitihan kuanza kuleak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…